Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe.
Hivi sasa ni zamu ya Polepole ambaye ambaye tangu kifo cha jiwe amepata mbinyo mpk kupelekea kuutema UBALOZI. Kubabaye! Hivi sasa anaishi kama digidigi na vietee hionei raha tena .
Sasa nafasi ya uenezi ipo mikononi mwa Kihongosi. Kwa mlio karibu naye mpeni ushauri wa bure kuwa kama hajaoa, basi asioe kabisa. Kwani zama za mateso juu yake zi karibu sana. Mara baada ya wahuni kudhibitiwa kihongosi ataishi kama digidigi.
Ni hayo tu.