Kigwangalla: Nimekuwa Mbunge miaka 11, ila Rais Samia amefanya mambo sijawahi kuona

Akina kigwangala ni mazoba tu hayo wala hayaelewi yanaongea nini kwao kuongea UPUUZI ni sehemu ya maisha yao.
 
Anataka teuzi,zamu yake ishapita riziki haiji mara mbili,laana ya kupigisha push up wazee wa watu
 
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"

"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"

"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"

"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"

"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"

Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.
View attachment 2019966
Hizo hela katoa kwenye pochi yake ?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kuna huyu kada wa Ccm Nkini john jamaaa tangu akiwa afisa mikopo chuo kikuu....sijawai kumuelewa....ana tabia kama za Mwigulu na kigwangala
 
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"

"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"

"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"

"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"

"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"

Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.
View attachment 2019966
Kama Nape, na yeye anahangaika kutafuta cheo vye kuteuliwa na rais
 
Akina kigwangala ni mazoba tu hayo wala hayaelewi yanaongea nini kwao kuongea UPUUZI ni sehemu ya maisha yao.
Hujaelewa nini hapo au chuki tuu? Nyie wa mjini hakuna mnachoelewa ila sisi wa Vijijini tunaona ukombizi wa mama..

Ndio maana hata Ulimwengu J,akikataa udc mjini kwa kuwa ukiwa mjini huwezi ona impacts tofauti na ukiwa kijijini.
 
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"

"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"

"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"

"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"

"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"

Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.
View attachment 2019966
Walimnafikuna..........;...........
 
Ujue Kuna wakati mtu alikuwa amezoea Mara kwa Mara kuvuta hewa Safi ya pale ikulu,alishazoea kutembelea mavieit ,Sasa unapokuwa nje ya mfumo huo lazima ikupe shida sana.mwisho usipoiweka akili yako sawa,utaishia kuwa mwendawazmu na mnafiki,hatimae utajikuta umejiunga na ile team ya praise & waship !! naona mdogo mdogo anaomba kusajiliwa na kwaya !!
Uwaziri ulinoga sasa ni sifa tuuuuuuuuuuu ili niupate tena
 
Vijana wa lumumba bwana magufuli ulimwimbia mapambie Hadi ukavunjika na miguu namikono ,kale kademu kanesi muhimbili kalikufukuzia kanamwomba namba niliishia kucheka
 
Checks and balances ndicho kimekosekana kwa taifa na hiyo inafanya maendeleo kuwa vigumu kupatikana
 
Huyu ni mgojwa sio bure
Na viongozi wa type ni asilimia 80% ya viongozi wote wa Tanzania, japo hili la kusifia na kujikomba limepata umaarufu sana wakati wa Magufuli. Huyu jamaa ni wa hovyo kuliko hovyo yenyewe. Fikiria na kiazi kama huyu alishakuwa eti waziri. Uchaguzi (uchafuzi) wa 2020 kama Magufuli angetumia ubabe aliofanya kuwaondoa watu wa hovyo kama huyu kwenye nafasi za ubunge, na kuweka watu wenye akili angepata support kubwa sana japo amebaka uchaguzi.
 
Uzuri wa serikali yenye uwazi! Jiwe alikopa trilion 20 ndani ya miaka mitano hazijulikani zimeenda wapi, maana miradi yake anayosingizia hiyo hela aliipeleka huko yote haijakamilika ndani ya muda aliotudanganya itakamilika! Angeendelea mitano mingine angetuachia deni la tril 100 yule jamaa, na hela yote angeitafuna yeye na ndugu zake
Umerogwa
 
Natamani siku moja mungu anipe wasaaa ya kukutana na mbunge wa CCM nimuuulize hiv nyie watu wazima mnakiki kweli? Na mnawaza kutumia nni kichwa au miguuu?
 
"Tunamshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wetu wa Chama chetu, nimekuwa Mbunge miaka 11 ila amefanya mambo sijawahi kuona, tumepokea fedha nyingi Halmashauri hii haijawahi kutokea kwa kweli anaupiga Mwingi"

"Miradi ya Kimaendeleo Jimboni hapa ametuletea fedha nyingi kutatua kero, Bilioni 1.5 na tumeongezewa bilioni 4 ajili ya barabara Vijijini, hatujawahi Pata fedha nyingi kwenye barabara vijijini Jimbo hili kama hizi sasa tunaenda kukarabati na kupasua barabara mpya"

"Rais Samia Suluhu ameleta Bilioni 1 na milioni 740 kujenga Madarasa zaidi ya 112, ameleta Fedha kujenga Shule Shikizi 11 Halmashauri yetu. Pia ameleta Milioni 583 kata ya puge kupandisha Hadhi Sekondari hii kuwa ya kidato cha Tano na Sita na ujenzi unaendelea"

"Halmashauri yetu ya Nzega Tumepata Bilioni 9 kwenda kutuwezesha kusambaza Maji ya Ziwa Victoria Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Nzenga inakwenda kubadilika, Kero zinatatuliwa kwa Haraka hakika haijawahi kutokea huko Nyuma"

"Tumepokea Milioni 400 Kujenga Kituo cha Afya Nata, Rais Samia amedhamiria kuboresha huduma za afya, pia ametokea milioni 250 kituo cha Afya Mbagwa, Kaloleni 250, Miziba ziba 250, yote hii ni miradi awamu hii hakuna kusuasua fedha Rais Samia anatoa na inatekelezwa"

Mbunge wa Jimbo la Nzenga Vijijini Mhe. Hamisi Kigwangala ameyasema hayo leo Kwenye Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Wilayani Nzenga kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama Mashinani.
View attachment 2019966
KAZIIENDELEE
 
Nchi hii ya kishenzi, eti na huyu aliwahi kuwa na anweza kuwa Waziri!
 
Back
Top Bottom