Kigwangalla jiulize sana kwanini wewe

Soon atakuwa Kama bashite.
Leo Rashid Gwajima ana thamani kuliko bashite. Rashidi ndie boss wa bashite
 
Namshauri asije kutoa kafara familia yake ili arejeshwe kwenye CABINET.
 
Kigwangawala bado anayo nafasi kubwa sana ni kijana mdogo. Muhimu ajikite sana jimboni kwake huo ndio mtaji wake was pekee. Jimboni kwake hakutegemei sana uoendeleo wa uteuzi.
Mtu mwenye 45 ni kijana mdogo?

Huu umri haajiriki tena katika system ya serikali in case ametolewa mazima. Labda apewe nafasi ya kisiasa kama ubunge. Mwenye Chance ni mtu kama Makonda.
 
Kigwangala alikuwa anajisahau sana, muda mwingi yupo mitandaoni kubishana; kukejeli na wakati huo huo yeye ni sehemu ya serikali, mbaya zaidi yupo illogical tena ni mzigo kufikiri. Huyo jamaa ashawahi wapigisha push ups maafisa wa jeshi na kuwarusha kichura hadharani. Kigwangala ana matakataka mengi sana wacha tumfichie tu.
 
Huo utafiti wa usema HK anachukiwa umeufanya lini na wapi,acheni unafiki,cheo ni dhamana hakuna atakaye kaa nacho milele. HK si wa kwanza na si wa mwisho.
Unahitaji utafiti kama unatembelea mitandao utaona dhahiri.
 
baadhi ya watanzania walio wengi tumekuwa na tabia mbaya ya Majungu na fitina, wengi walimpiga sana Majungu Hamisi Kigwangwala sio kwa jambo jingine bali kutokana na uhodari wake wa kuchapa kazi kwa weledi. sijui kwa nini watanzania huwa wanawachukui na kuwaundia zengwe viongozi mahirii??!
tutaishi kwa kupigana majungu na fitina mpaka lini?!?
haya kwa sasa Hamisi Kigwangwala hayupo sasa tafuteni mwengine muanze kumpiga majungu na fitina.
tuache tabia ya majungu na fitina, majungu na fitina havijengi bali hubomoa
 

Acha kumtetea alikuwa hajui position yake
 
Uhodari wa Twitter au uhodari gani?
 
Unaweza ukala bure chakula afu ukaenda kunya kwenye choo cha kulipia ndo maisha.
 
Publicity inaweza kukunyanyua sana lakini publicity inaweza kukuangusha chini haraka (Aliji expose sana).Kigwangwala ni kijana,msomi na bado ana future nzuri.Kwa usomi wake anachokosa ni madaraka ya kisasa,kuingia baraza la mawaziri lakini akitulia nanaweza kuendelea na amsiha tena mazuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…