NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 309
Kwa hiyo CHADEMA ndiyo wamemuamrisha JPM amteme Kigwa? Basi kumbe CHADEMA ni zaidi ya Serikali iliyopo madarakani.Machadema ndiyo yamefurahia ,yana roho ya korosho sana.
Wewe mwenyewe hapo umefurahia huyu jamaa kuachwa kwani sikujui?Machadema ndiyo yamefurahia ,yana roho ya korosho sana.
Washabiki wa simba,ambao wapo upande wa dewji.
Hata hivyo uwaziri ni bonus tu,ubunge mbona unatosha sana ,si anawawakilisha tu waliomchagua,halafu sio masikini hamisi.no mpambanaji haswa.hata hao walioteuliwa wengi tu hawatamaliza mitano.
Hakuna mwanasiasa asiye mshirikina!Ni mpambanaji kisha anashinda kwenye ushirikina ili awe mbunge na waziri? Kwanini asibaki kwenye huo upambanaji wake?
Hakuna mwanasiasa asiye mshirikina!
Mzimu ulitaka amuuwe mwanae au yeye mwenyewe, kashindwa masharti ndiyo maana katemwa.Ni mpambanaji kisha anashinda kwenye ushirikina ili awe mbunge na waziri? Kwanini asibaki kwenye huo upambanaji wake?m
Mbona Ndungulile watu walisikitika?ukitaka kuzijua rangi za walimwengu teleza/haribikiwa na jambo kila mtu atanena lake ilimradi ajifariji tu.
Mkulungwa si ndio Yule anaroga hadharani na alimtoa mtoto wake kafara?Mbona Ndungulile watu walisikitika?
Duh!Mkulungwa si ndio Yule anaroga hadharani na alimtoa mtoto wake kafara?