Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

Hivi hawa wanasiasa wanafikili kuna mtu asiyependa kufanikiwa!?..kama kujiajiri ingekuwa rahisi hivyo anafikiri watu tungekaa na kuanza kulalamika.....tunapambana sanaa kiukweli ila kitaani kugumu jamani asikuambie mtu.... Yeye mwenyewe ajaribu kuacha hizo nafasi wiki moja tu tuje tuanze naye upya asisubiri za kuteuliwa aone kama hataomba pooo
 
Huyu jamaa anajielewa kweli mbona msema hovyo kiasi hiki eti anawashangaa vijana wanaongoja ajira
 
Kigwangallah ameanzia chini na kweli ni fighter sana kwa anachokisema ni kweli, nadhani ameingia kwenye payroll ya serikali kwa mara ya kwanza baada ya kupata ubunge then uwaziri. Alikuwa na kampuni imekaa kitapeli inaitwa MSK miaka mingi nyuma. Kwa kuanzisha kampuni miaka hiyo maana yake ana positive thinking toka zamani, akiwa na jamaa yake Msafiri
 
Kigwangallah ameanzia chini na kweli ni fighter sana kwa anachokisema ni kweli, nadhani ameingia kwenye payroll ya serikali kwa mara ya kwanza baada ya kupata ubunge then uwaziri. Alikuwa na kampuni imekaa kitapeli inaitwa MSK miaka mingi nyuma. Kwa kuanzisha kampuni miaka hiyo maana yake ana positive thinking toka zamani, akiwa na jamaa yake Msafiri
 
Jamaa linaishi kwenye illusion....hajawahi kuishi kwenye reality...hamna mtu anamchukulia serious tena
 
Huyu jamaa hopeless kabisa, unafikiri kujiajiri kwa fani ya udaktari ni jambo jepesi eeh?
Acheni uvivu wa kufikir vijana, mbona yule Dr. Mwezi cjui mwaka amejiajiri na ni doctor juzi juzi hapa nmemwona anaendesha gari ya milioni sio chini ya mia moja.
 
Ajiuzulu ili AKALIME naye mtu serikali inawasomesha ma doctor harafu ww unasema wakakodi mashamba
 
...kigwangala anasahau kwamba yeye ametokea kwenye taasisi ya WAMA ya mama salma....leo amesahau alikotoka kwa kuwa ameshiba....aishukuru family ya mkwere kwa kumtoa....bila hapo angekua anatibu mavi na mkojo...kama madaktari wengine wanaoungaunga....
 
Huwa mara kadhaa nmekuwa nikijiuliza hivi kuna mtanzania esp mtoto wa maskini anayesoma Udactari, unesi au ualimu ili ajiajiri?
Ktk nchi zenye fursa ya mikopo na ruzuku hiyo ipo lakini kwa tanzania bado sana miundombinu na mazingira wezeshi bado haimpi graduete fursa ya kujiajiri!!.
 
Kipindi cha "vita"yake yeye na Bashe kule Nzega alikamatwa na PCCB yeye na mke wake kwa kuhonga wajumbe wa CCM VITUMBUA hahah kama utani vile.
 
Yeye mwenyewe aliokolewa na mke wa Kikwete alipompa kazi WAMA,la sivyo hata ubunge angeusikia umachingani
 
Kama kulima na kujiajiri kw nini yeye hakufanya hivyo akachukua jina la mtu aendelee shule ili ili aajiriwe?? Kwa nini asingeamua kuw mkulima toka enzi za jina lake halisi? Anamlipa kiasi gani mwenye jina?? Ambae analima tu vibarua yeye ameajiriwaaa???
 
Back
Top Bottom