Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

9a9b22436735d924359adcc9ebd6766e.jpg
31a55dfbe34ad5027ff757f2ea69052b.jpg


Source .EATV
 
Ni rahisi kuongea lakin siyo kutenda. Mbona yeye hakujiajiri akasubiri kuteuliwa?
Ni kweli mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa.season yao itapita
 
Heeeh! niko dunia ya ngapi? inamaana Dr.Kigwangala, hayuko wizara ya afya tena?
Mabadiliko yalifanyika lini leo hii anazungumzia kuhusu ajira?
 
Hivi sekta ya afya mwajiri huwa ni nani kati ya wizara na utumishi
 
Hapo ndio utakapojua viongozi wenu hawapo kwa ajili yenu, ngoja ufike wakati wa kuomba kura uone wanavyojipendekeza.

Wajinga ndio waliwao. Maana wakiambiwa hawa sio, utasikia "Kimetulea" mara ooh "UMOJA NI USHINDI"
Haya sasa dharau zao ndio hizo!!!
 
Huyu jamaa hopeless kabisa, unafikiri kujiajiri kwa fani ya udaktari ni jambo jepesi eeh?
 
Huyu ni mwehu sana sana kwanini kama nakutaka kuajiriwa na serikali alijikita kwenye ccm jinga hili
 
Kigwangalla alikua anagimbea Urais kama sikosei only in Tanzania
 
Back
Top Bottom