Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

Kigwangalla awashushua wanaolilia ajira

Huwa sipotez muda wangu kumskiliza binadam kama huyo.


Mtu anaeishi ndoto za mtu mwingine. (Jina)
Bure kabisaa.
 
Tanzania sio adui wa watu wake ila baadhi ya wanao waongoza wengine ndo wanafanya tanzania iwe adui kwa watu wake
 
Wasisubiri ajira wakati anasoma kwny Government payroll.. Watu wengine bana.,smh
 
Kigwangalla nakupongeza sana mheshimiwa. Japo vijana wengi hawapendi kuambiwa ukweli.

ktk dunia ya leo ajira ni tatizo kila mahala. kigwangalla anatoa ushauri kuntu vijana mnabwabwaja na kutokwa mapovu.

ni aibu kwa msomi kulilia ajira. nenda kajiajiri! tumia elimu yako.

"WASOMI" shame on you! BIG UP Kigwangalla.
 
Kigwangallah ameanzia chini na kweli ni fighter sana kwa anachokisema ni kweli, nadhani ameingia kwenye payroll ya serikali kwa mara ya kwanza baada ya kupata ubunge then uwaziri. Alikuwa na kampuni imekaa kitapeli inaitwa MSK miaka mingi nyuma. Kwa kuanzisha kampuni miaka hiyo maana yake ana positive thinking toka zamani, akiwa na jamaa yake Msafiri
Kampuni imekaa kitapeli kumbe hajaanza leo
 
Back
Top Bottom