Kigwangalla apingwa vikali baada ya kuunga mkono kipimo cha mkojo!

Hapa kigangwala anasema uchichozi unaweza pimwa kwenye mkojo,kwamba kuna kemikali ukizitumia husababisha uchochezi!

Hapa anafananisha watu na wanyama,basi naye kipimo cha mkojo kinamuhusu,huenda kemikali ndio zinamfanya asiheshimu binadamu wenzake!

Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya jambo lolote la aibu bila kujali muktadha.
Na kilichoulizwa ni kuhusu upimwaji wa mkojo na ishu ya uchohezi kwa maana ya kwamba mtu anaweza shiriki kutoa maneno ya uchohezi kutokana na kua ametumia madawa. ..that means mentally driven by alcohol ...or other addicts
Sasa watu mnshishindwa kutenganisha majibu ya Dr.Kigwangala na ishu ya Tundu Lisu.
Dr.Kigwangala amejibu kipimo cha mkojo kinahusiana nn na matumiz ya dawa za kulevya na sio kipimo cha mkojo na kesi ya Tundu Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kapatikana.Mawaziri wa Sizonje hawana adabu wala akili.Tukiwatukana tunaishia kupigwa ban bila wao wanapenda sana kutukana watanzania.Hakika ukitaka kujua hulks na tabia ya moja umpe pesa au cheo.

Madaraka haya yamewalevya kabisa maana wameamua kukojolea kwenye mtungi wa Maji.Wote kuanzia aliyewatea mpaka mteuliwa.
 
Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya jambo lolote la aibu bila kujali muktadha.
Na kilichoulizwa ni kuhusu upimwaji wa mkojo na ishu ya uchohezi kwa maana ya kwamba mtu anaweza shiriki kutoa maneno ya uchohezi kutokana na kua ametumia madawa. ..that means mentally driven by alcohol ...or other addicts
Sasa watu mnshishindwa kutenganisha majibu ya Dr.Kigwangala na ishu ya Tundu Lisu.
Dr.Kigwangala amejibu kipimo cha mkojo kinahusiana nn na matumiz ya dawa za kulevya na sio kipimo cha mkojo na kesi ya Tundu Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app

Usimtete Kigwangwala,ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.Anza toka alivyoaandika hiyo pumba kumuhusu Lissu ndipo.utajua kwanini ametukanwa
 
Ifike wakti tujenge hoja zenye tija tofauti na kua bendera wafuata upepo. ..Dr.Kigwangala alichosema kuna uwezekano wa athari za matumiz ya madawa ya kulevya kumfanya mtu kuzungumza vitu ambavyo vinaweza leta picha tofauti. ..mfano mtu akilewa anaweza toa lugha ya chafu kwa mtu yeyote au kufanya jambo lolote la aibu bila kujali muktadha.
Na kilichoulizwa ni kuhusu upimwaji wa mkojo na ishu ya uchohezi kwa maana ya kwamba mtu anaweza shiriki kutoa maneno ya uchohezi kutokana na kua ametumia madawa. ..that means mentally driven by alcohol ...or other addicts
Sasa watu mnshishindwa kutenganisha majibu ya Dr.Kigwangala na ishu ya Tundu Lisu.
Dr.Kigwangala amejibu kipimo cha mkojo kinahusiana nn na matumiz ya dawa za kulevya na sio kipimo cha mkojo na kesi ya Tundu Lisu

Sent using Jamii Forums mobile app

ingekuwa ivyo... watuhumiwa wote wangekuwa wanapimwa mkojo kutambua chanzo cha kufanya uharifu ni pombe au madawa ya kulevya....

usitete ukandamizaji wa haki na demokrasia..
 
Sijaona hoja iliyojibu hoja ya Kigwangalla...

Hii thread yako ni ya viti maalum ndio maana inaendelea kuwepo
 
elimu zenye utata....
1. januar - f6
2. mwiguru - jina feki
3. makonda - cheti cha mtu
4. kigwangala -jina feki
5. jpm - phd
6 mbowe - f4

aina ya wanasiasa wetu.. ndio maana profesa kaamua kuwa msanii....
Kiwango cha elimu si jambo la msingi hapa lkn kusema uchochezi unaweza kupimwa kwenye mkojo hii naamini only in Tanzania!Halafu neno UCHOCHEZI lina tafsiri gani kwaTanzania?Ningependa wataalam wa BAKITA wake watoe tafsiri.
 
Back
Top Bottom