Kigwangalla ana hoja. Zijibiwe

Kigwangalla ana hoja. Zijibiwe

Sometimes wabongo sisi ni wapumbavu sana kwenye kuhoji maslahi.

Kigwangalla ana hoja za msingi sana, Mo anaishije na timu anayoimiliki kwa 49% bila kulipa cost za hisa?

Yaani bilion 20 hajalipa hata mia halafu mnasema aachwe tu atumie club kama anavyotaka.

Siku akiondoka timu ianze kutembeza bakuli?

Uwanja wa mazoezi kajenga, je unaitwa Simba kwanini uwe na jina lake na sio la club.

Washabiki wa Simba acheni kuwa wapumbavu timu inatumiwa kisiasa, timu inatangaza biashara za mtu asiye na hisa kihalali?

Simba mjitafakari, Kigwangalla anazo hoja za msingi.

1. Masuala ya Mo kumuajiri yule Dada is not a big deal , however she will be acting a remotte. Maana yake; Dada atakuwa pale but Mo will be leading and directing her behind the scene. Huo ni ukweli tupu na wabongo muache upumbavu na ubishi.

2. Hoja za Khamis ni za msingi hata kama ndani yake zinachembechembe za kukomoana.
- Ili kuweza kuelewa Utapeli wa huyu muhindi ni vyema kwanza wale wote wanaobisha kwa Khamis, wapitie upya mchakato wa awali ulivyofanyika na kumpata Mo.

3. it was competitive tendering method of procurement based on the act and regulations as stipulated. Katika Tendering Documents kulikuwa na Instruction to Bidders ambayo ilimtaka Competitive Bidder alipe a certain % of the total value( 20B).

4. The remains will be paid following intention to Award. Kitu ambacho tunaweza kuwashauri wabongo ni kama ifuatavyo;
Kutafuta ile Tender Documents iliyowashindanisha kina Mo.
kupitia Tender Documents , mtaweza kuona Conditions za Preliminary Evaluation zilikuwa ni zipi, Conditions za Technical Evaluation zilikuwa ni zipi, Financial Terms zilikuwa ni zipi ?

What was the Conditions set forth for thé competitive Bidder prior to contract award ?

Tunashindwa kujadili haya mambo hapa sababu wqbongo wengi wanamambo ya kipuuzi na hawaelewi sharia za manunuzi zinasema nini.

5. Wakiambiwa tumetoa bil 4 kwa wachezaji na mishahara blah blah, that is stupid , sisi tunaangalia Sheria ya manunuzi ilikutaka ufanye nini baada ya wewe kupewa kazi ?

6. Dhumuni la kuhoji ni kwamba tunataka security ya timu na mambo yawe wazi ili leo na kesho Mo anakufa, timu isiingie mgogoro na familia ya Mo. tunapaswa kuona timu imetumia kiasi gani ? Bajeti ilikuwa ni kiasi gani ? source of fund ni zipi na zinatumika vipi , investor Mo amewekeza how much , club kama club inaingiza kiasi gani? Na Mo anachàngia kiasi gani , na zinatumika vipi.

7. Mishahara ya wachezaji sio siri iwe waz ijulikane na wananchi na ulimwengu ili tukipiga hesabu tuone je kuna evenly distributions ya resources na security ya timu . Wengi wanaobisha humu hata mishahara ya wachezaji hawaijui, wakiambiwa tumetumia Bil 4 wanatoa meno , ni upumbavu! Kama hakuna shida mahali kwanini haya mambo hayapo wazi .

8. Sasa ili hii mada iwe ni yenye akili , tusiandike andike kama maluza ; tuweke Tender Documents hapa tuone ilitaka nini na Mo kafanya nini ? Tujue what kilichotumika thus far ?

9. What does it mean MCHAKATO unaendelea ? Huo mchakato unaisha lini ? Offer yoyote lazima iwe na deadline, commitment and defined terms as well as other issues, what was the deadline? What was the defined terms ? Kama haya maswali hayajibu na kubaki kutuambia Je mm nitakosa Bil 20? huu ni wizi na utapeli,

10. kama hamtaki kuweka mambo wazi , tutazianika Documents zote humu humu kila mtu asome, tutaanika club own source of fund. Tutaweka mshahara wa kila mchezaji Just very soon .
————————

Mo hata maturity hana ; mara kujitoa mara kususa, he is not reliable, he is after something. Sad but true . Huwezi kusema timu inashinda kwa kuipima na mwadui. Ili tujue uwezo wa usajili wake , alete As Vita, TP Mazembe etc etc yeye si ana hela. kwa kupimana na hizo timu ndio tuseme usajili wake ni wa kimataifa. Otherwise ni Muhuni.

Mimi personally , nitafungua uzi na kuweka all documents zilizotumika wakati wa mchakato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom