chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
kimada wa nani .mtoa mada ni kimada
Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.
Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.
Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
Badala kusema alichokisema wewe unabaki kumsifia tuuuuuu. Hovyo kabisa
Mkuu ingekuwa vyema kama ungeiweka hiyo hotuba sasa wewe mwanzo mwisho ni kusifia tu, iweke tuisome tuone alivyofunika.Hotuba aliyoitoa jana mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI hapa mjini Dodoma imefunika Bunge kumfanya Kigwangalla awe shujaa wa wakati mpaka sasa hakuna aliyemfikia.
Ameweza kukonga nyoyo za watu sana haswa pale alipozungumzia kubana matumizi kwa kutaka serikali ipunguzwe saizi.
Na pale alipoongelea mapato ya asilimia 10 ya vijana na ile asilimia 60 own collection ya ndani kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
Hotuba ya Kigwangalla kwa jana na ya leo zimewagusa sana wabunge wenzake kiasi cha kila mchangiaji toka jana jioni wamekuwa wakimnukuu, jambo ambalo si la kawaida.
Huu uzi amesifiwa mbunge wa ccm sio mbaya,nyie wachaga hamkupaswa kuleta vioja hapa,kwanini msisifie kina sugu na lema?mtu akifanya vizur pongezi ni haki yake kigwangala katisha kwa speech zake