Uhuru wa vyombo vya habari ni kitu cha lazima karne ya 21. Hata kama kuna mtu anajisifu kuwa ameruhusu uhuru wa habari, hiyo ilikuwa lazima itokeee nyakati hizi. Hakukuwa na jinsi ya kuuzuia wala siyo mpango wa mtu au nchi ni matokeo ya kazi za research nyingi zilizofanywa na kubadili sekta ya Information duniani kote.
Waache kutuhadaa kuwa hilo nalo limefanywa na serikali ya CCM. Narudia tena, mfumo mzima wa mawasiliano unatikisa tawala nyingi duniani haujaja/haujatokea kimakosa ni matokeo ya tafiti nzuri na ilikuwa lazima utokee sehemu yeyote ile katika nchi yeyote ile.