Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
hana jipya
Dr. HK Kigwangalla [MP] on Igunga: Media zimetuonea sana! CCM tutatumia wingi wetu bungeni kuubana Uhuru wa Media, hauna maana! about 3 hours ago
Source: twitter
Kapotolo, umeitoa wapi hiyo, mbona sijawahi kuandika? Acha kunipikia majungu bana...
Nani amekutuma kunimaliza?
jamani hebu nambieni huyu nape anapaka mkorogo
Jimbo gani wametwaa... Maana kama ni igunga lilikua lao tayaeiMabadiliko gani hayo wakati wanazidi kujitwalia tu majimbo?CDM wamefulia
Madaraka bwana. Ukiwa ndani kiza, ukiwa nje, mwanga. Siku akirudi uraiani kwa kuanguka ubunge au kustaafu, atagundua kwanini wasomi kama yeye ndio kikwazo cha taifa hili kusonga mbele.Dr. HK Kigwangalla [MP] on Igunga: Media zimetuonea sana! CCM tutatumia wingi wetu bungeni kuubana Uhuru wa Media, hauna maana! about 3 hours ago
Source: twitter