Kigwangala: Atangaza VITA na Media

Yeye atulie tu ashapewa kula kwa miaka 4 bado anataka kuleta chokochoko. Ana nguvu gani za kupambana na media huyu, au anafikiri kila sehemu wanachakachua!!! hili litakula kwake, kama anafikiri natania AJARIBU AONE (Quote JK)
 
Uhuru wa vyombo vya habari ni kitu cha lazima karne ya 21. Hata kama kuna mtu anajisifu kuwa ameruhusu uhuru wa habari, hiyo ilikuwa lazima itokeee nyakati hizi. Hakukuwa na jinsi ya kuuzuia wala siyo mpango wa mtu au nchi ni matokeo ya kazi za research nyingi zilizofanywa na kubadili sekta ya Information duniani kote.

Waache kutuhadaa kuwa hilo nalo limefanywa na serikali ya CCM. Narudia tena, mfumo mzima wa mawasiliano unatikisa tawala nyingi duniani haujaja/haujatokea kimakosa ni matokeo ya tafiti nzuri na ilikuwa lazima utokee sehemu yeyote ile katika nchi yeyote ile.
 
Hilo nalo ni gamba...... Akili zake ni fupi km za CCM wasivyoona mabadiliko ya kisiasa yanaoendelea Tanzania.......... For his info..... Info is power.....
 
Kweli watu wanasahu haraka, nashauri media isusie habari zake, halafu akae nazo kwenye aina ya dunia iliyojifungia kama hiyo anayoitaka.
 
Mabadiliko gani hayo wakati wanazidi kujitwalia tu majimbo?CDM wamefulia
Hilo nalo ni gamba...... Akili zake ni fupi km za CCM wasivyoona mabadiliko ya kisiasa yanaoendelea Tanzania.......... For his info..... Info is power.....
 
Ndio maana alifeli kwenda chuo, bahati nzuri akafanikiwa Kuiba Jina la mtu aliyetakiwa kwenda Chuo. Kwa hiyo huyo Mpuuuuzi Kigwangala yupo kama Nape wote wana akili moja utofauti wao upo kwenye Masaburi
 
Ooh poor Kigwa...nani aliekuloga wewe kijana?

Ndo madhara ya kusomea majina na vyeti vya wengine, watu wanajadili na kutafuta haki zaidi za media wewe unaongelea UWINGI wenu kuhujumu media, poor you!!! so pathetic
 
Tatizo hapo sijui anaeongea ni nani....ni original kigwa aliefaulu au ni huyu feki mwizi wa vyeti...twende sawa kwanza hapo then ndo nitoe mchango wangu...............
 
Kazi Ipo kwa Kamanda Mkuu wa Chama Cha Magamba na Style yake ya Uongozaji.

Muda si Mrefu utasikia Kigw! Mheshimiwa Naibu Waziri kwa Kusoma Alama za Nyakati.
 
Hajui kuwa hata hiyo aliyotumia (twitter) nayo pia ni media.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom