mbasha mazengo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 630
- 588
Kwahiyo waziri na jiwe walikurupuka.halafu na kigwangala alikurupuka kuandika uhuni huu.
Unaweza kusema anajuta kwa maneno yake,
Unaweza kusema ameona alipokosea hivyo anaomba radhi kiaina,
Lakini style hii ya unafiki na kujifanya mtetezi baada ya kukosolewa ni tabia inayoota mizizi katika serikali hii.
Shuhudia hapa:-View attachment 947188