infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,092
- 2,150
Wala si kichwa, ni wa kawaida sana....baada ya ajali ndio anagundua kumbe Mungu yupo!!!Inawezekana namjua juu juu. Maana nilipoona ameingia kwenye cabinet ya mkuu, nikajua ni kichwa.
Wala si kichwa, ni wa kawaida sana....baada ya ajali ndio anagundua kumbe Mungu yupo!!!Inawezekana namjua juu juu. Maana nilipoona ameingia kwenye cabinet ya mkuu, nikajua ni kichwa.
Nimekupata mkuu. Naona hiyo list inavyozidi kushuka, ni shida zaidi. Twende tu tutafika....Yule Mwijage nae alingia kwny baraza la Mawaziri naye ni kichwa?
Vp Waitara kapewa U/waziri unadhani naye ni kichwa?
Nadhani karidhika, maana amepotea baada ya kusoma.Umeridhika mkuu?View attachment 947208
Huyo ni punga
Pamoja mkuu.Nimekupata mkuu. Naona hiyo list inavyozidi kushuka, ni shida zaidi. Twende tu tutafika....
hahahaha jiwe mkuu anazingua sana anakambia "alitumia muda mrefu kupembua mawaziri " ila mawaziri alio chagua ndo hawa hadi unajiuliza mara 3 je asinge tumia huo muda mrf na akili nyingi sijui angekuja na watu wa aina gani?Kwa hiyo wewe unamwamini jiwe zaidi! Unasahau kuwa ndege wafananao huruka pamoja...Kalaghabaho!
Ile ajali ya "kumkwepa twiga" lazima ilitingisha kichwaMimi kila siku ntaendelea kusisitiza kuwa Hamisi ana shida , yaani jamaa ana tatizo kichwani
AiseeeeHuyo ni punga
Huyu itakuwa anamfahamu vizuri sana na pengine alishawahi kumpumulia kisogoni.Acha utani kaka?
Mtoto kalewa huyoo,Mkuu, umeona hayo mawazo ya Kigwangala?? Iko shida hapa siyo bure.
He should just keep quietUnaweza kusema anajuta kwa maneno yake,
Unaweza kusema ameona alipokosea hivyo anaomba radhi kiaina,
Lakini style hii ya unafiki na kujifanya mtetezi baada ya kukosolewa ni tabia inayoota mizizi katika serikali hii.
Shuhudia hapa:-View attachment 947188