Aache unafiki wa kichawiUlitaka afanyaje hasa,ajiuzuru ?
Chadema kuchukua nchi saa nne asbuh 2020Hahahaa!!Hii ndio CCM !!
Dalili ziko wazi kama issue ya Korosho, tengeneza tatizo kisha toa suluhisho ili uonekane mtetezi wa wanyonge.Hapa kwenye mafao siku si nyingi mtu atakuja na Antivirus baa ya yeye mwenyewe kutengeneza virus
Kuna kiki inasakwa hapa
Umeridhika mkuu?View attachment 947208
Lilikuwepo au ni baada ya tatizo alilopata ajalini.Mimi kila siku ntaendelea kusisitiza kuwa Hamisi ana shida , yaani jamaa ana tatizo kichwani
ndoto za mchanaChadema kuchukua nchi saa nne asbuh 2020
Kwa hiyo wewe unamwamini jiwe zaidi! Unasahau kuwa ndege wafananao huruka pamoja...Kalaghabaho!huyu bwana uwezo ni mdg sana yaani hadi huwa nashangaa alipataje kuaminiwa na jiwe. huyu jamaa kama si kuiba jina angekuwa mwanga mtaani