Daraja lipo kama unatoka tabora kuja kigoma ndio hilo lilizinduliwa na liko poa tu, huko ilikotokea hii ajali hakuna daraja huwa wanatumia kivuko kupitisha magari na watu ni mbali na lilipo hilo daraja unalolifikira wwjamani mbona kuna daraja la kikwete katika mto huo au nalo lilikuwa hewa duuu Nchi hii
Kabla hujauliza hilo swali bora ungefanya uchunguzi wa jiografia ya kigoma na ukaona coverage ya mto malagarasi, ungefahamu ni barabara ngapi zinakatiza ktk mto huo usingeuliza swali lako.Hivi hakuna daraja jipya limmezinduliwa mto malagarasi hivi karibuni?
Na mimi ndicho nachojuaNachofahamu daraja limekamilika na lilishazinduliwa zaidi ya miezi 20 iliyopita.
Ni rahisi kufanya uchunguzi huo kwa kuuliza humu maanake sio rahisi sana kuzijua hizo barabara kwa kuziona wakati niko km karibu 1000 kutoka huo mto.Kabla hujauliza hilo swali bora ungefanya uchunguzi wa jiografia ya kigoma na ukaona coverage ya mto malagarasi, ungefahamu ni barabara ngapi zinakatiza ktk mto huo usingeuliza swali lako.
Asante wicklef sie wengine hatujui coverage ya mto malagarasiDaraja lipo kama unatoka tabora kuja kigoma ndio hilo lilizinduliwa na liko poa tu, huko ilikotokea hii ajali hakuna daraja huwa wanatumia kivuko kupitisha magari na watu ni mbali na lilipo hilo daraja unalolifikira ww
Daraja lipo nimepita majuzi tu toka Mwanza kwenda Kigoma. Tatizo mtoa taarifa habari yake haielezi gari ilikuwa inatoka wapi, hii ingesaidia kuelewa zaidi.Hivi hakuna daraja jipya limmezinduliwa mto malagarasi hivi karibuni?
Mkuu RRONDO hilo daraja ni barabara ya kuelekea mashariki mpaka Tabora, sasa hicho kivuko kiko kusini mwambao wa ziwa Tanganyika kuelekea vijiji vya Sumbawanga. Kwa wastani ni barabara muhimu pia ila kiuchumi haina faida sana kwa nchi maskini kama TanzaniaHivi hakuna daraja jipya limmezinduliwa mto malagarasi hivi karibuni?
Nimesha wahikufika eneo tukio lilipotokea, kwa utaratibu ulivyo pale kila abilia lazima ashuke alipie gharama ya kuvukia na dereva pia analilipia gar lake, so ingekua ngum kwa abilia kubaki ndan ya gar wote lazma washuke, labda hasara ni mizigo iliokuwa ndan ya gar, siamin kama kuna majeluhi pale.Mwenyezi awafanyie wepesi majeruhi wote....inshallah.
Asante.Mkuu RRONDO hilo daraja ni barabara ya kuelekea mashariki mpaka Tabora, sasa hicho kivuko kiko kusini mwambao wa ziwa Tanganyika kuelekea vijiji vya Sumbawanga. Kwa wastani ni barabara muhimu pia ila kiuchumi haina faida sana kwa nchi maskini kama Tanzania
Shukrani mkuu,je dereva na utingo wapo Salama?Nimesha wahikufika eneo tukio lilipotokea, kwa utaratibu ulivyo pale kila abilia lazima ashuke alipie gharama ya kuvukia na dereva pia analilipia gar lake, so ingekua ngum kwa abilia kubaki ndan ya gar wote lazma washuke, labda hasara ni mizigo iliokuwa ndan ya gar, siamin kama kuna majeluhi pale.
Daraja lililozinduliwa sio hilo ambalo linahusisha kivuko cha malagarasi. Think b4 askingNa mimi ndicho nachojua
basi aina ya Saratoga