Mizigo sasa nani atafidia???Nimesha wahikufika eneo tukio lilipotokea, kwa utaratibu ulivyo pale kila abilia lazima ashuke alipie gharama ya kuvukia na dereva pia analilipia gar lake, so ingekua ngum kwa abilia kubaki ndan ya gar wote lazma washuke, labda hasara ni mizigo iliokuwa ndan ya gar, siamin kama kuna majeluhi pale.
2010-15Kigoma kuwa kama Dubai
maragarasi ni mto wenye vivuko vingi.Hivi hakuna daraja jipya limmezinduliwa mto malagarasi hivi karibuni?
Aksante kwa elimu nzuri ya Jiografia maana vijana hawa wa kizazi kipya hawajui Jiografia ya nchi hii, wanakimbilia kukomenti kwa kulalamika tu, sasa hilo sio kosa letu ni lakwao kwa kutopenda kuijua nchi yao, mtu unaambiwa gari imetokea mwambao wa ziwa Tanganyika wewe unakimbilia daraja la Kikwete ambalo liko Tabora kwenda Kigoma. Jionee aibu wote msiopenda kusoma habari kwa umakini na kuijua Jiografia ya nchi yenu. Kama hujui kitu bora ukae kimya si lazima kuandika ili uma ukujue ukilaza wako.maragarasi ni mto wenye vivuko vingi.
Kibondo to kasulu unauvuka mto huo,
Uvinza to Nguruka- kama unaenda Tabora unauvuka tena.
kigoma to Mpanda, ukifika uvinza lazima uvuke tena huo mto
halafu kuna hicho kivuko ambacho kipo karibu na Tangangyika
tusimlaumu sana, ila kivuko kipo Bangwe kigomaAksante kwa elimu nzuri ya Jiografia maana vijana hawa wa kizazi kipya hawajui Jiografia ya nchi hii, wanakimbilia kukomenti kwa kulalamika tu, sasa hilo sio kosa letu ni lakwao kwa kutopenda kuijua nchi yao, mtu unaambiwa gari imetokea mwambao wa ziwa Tanganyika wewe unakimbilia daraja la Kikwete ambalo liko Tabora kwenda Kigoma. Jionee aibu wote msiopenda kusoma habari kwa umakini na kuijua Jiografia ya nchi yenu. Kama hujui kitu bora ukae kimya si lazima kuandika ili uma ukujue ukilaza wako.
Hiyo kwa kizungu wanaita near miss, maanake ni kwamba gari iliyotumbukia ilibeba abiria hamsini katika safari yake,nusura tu kwakuwa walishuka gari lilipoingia kwenye kivuko kwasababu tu ya utaratibu wa kivuko,vinginevyo wangelikuwamo wakati gari linatumbukia mtoni,hiyo inaitwa manusura sawa. Kiswahili kigumu pia usichezee.Sasa unasemaje abiria 50 wanusurika kifo wakati kwenye basi hakukuwa na abiria?
Sometimes Nape yupo sawa