1994 uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la kigoma mjini Chadema ndio walishinda uchaguzi huo kupitia kwa Dk walid Amani Kabourou dhidi ya Mgombea wa CCM Azim Premji, ndio jimbo la kwanza kutoa Mbunge wa Upinzani, ndio maana mwamko wa mageuzi mkoa huo upo juu kuna wabunge wa 5 wa upinzani na CCM wa 3. kwa anaye jua historia ya Kilimanjaro naomba atujuze