Kigoma Na Kilimanjaro wapi walianza kukubali upinzani?

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
0
1994 uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la kigoma mjini Chadema ndio walishinda uchaguzi huo kupitia kwa Dk walid Amani Kabourou dhidi ya Mgombea wa CCM Azim Premji, ndio jimbo la kwanza kutoa Mbunge wa Upinzani, ndio maana mwamko wa mageuzi mkoa huo upo juu kuna wabunge wa 5 wa upinzani na CCM wa 3. kwa anaye jua historia ya Kilimanjaro naomba atujuze
 
g riot master

Senior Member
Dec 15, 2013
103
0
Kumchagua kiongozi wa upinzan kwa mara ya kwanza ktk uchaguzi mdogo hakumaanishi ndo kutangulia kukubali upinzani. Nnachojua watu wa kigoma ni wepesi wa mabadiliko lakini hawana misimamo thabiti. Ebu niulize huyo Dk Kabourou yuko wapi sasa?
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
1994 uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la kigoma mjini Chadema ndio walishinda uchaguzi huo kupitia kwa Dk walid Amani Kabourou dhidi ya Mgombea wa CCM Azim Premji, ndio jimbo la kwanza kutoa Mbunge wa Upinzani, ndio maana mwamko wa mageuzi mkoa huo upo juu kuna wabunge wa 5 wa upinzani na CCM wa 3. kwa anaye jua historia ya Kilimanjaro naomba atujuze
sidhani kama huko right uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulifanyika znz jimbo la kwahani ambapo vyama viwili vilishiriki TLP na ccm na pili katika huo uchaguzi wa kighoma kaborou hakushinda alipata kura 5000 na premji alipata kura 8000 na baadaye kama sikosei judge alifuta uchaguzi huo kwa sababu ya baadhi ya kauli za Rais Mwinnyi alipomuita kibaraka wa USA. KUHUSU KILIMANJARO NAFIKIRI UTAANZIA MWAKA 1995 AMBAPO ILITOA VITI KADHAA VYA UBUNGE KUPITIA NCCR MAGEUZI NA CHADEMA WALIPaTA kiti KIMOJA HUKO ROMBO kwahiyo wananchi wa Rombo have been royal to chadema for a long time
 
Dec 14, 2013
78
0
1994 uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la kigoma mjini Chadema ndio walishinda uchaguzi huo kupitia kwa Dk walid Amani Kabourou dhidi ya Mgombea wa CCM Azim Premji, ndio jimbo la kwanza kutoa Mbunge wa Upinzani, ndio maana mwamko wa mageuzi mkoa huo upo juu kuna wabunge wa 5 wa upinzani na CCM wa 3. kwa anaye jua historia ya Kilimanjaro naomba atujuze

Inawezekana unahoja ya msingi na mimi naijua vizuri historia ya Kilimanjalo LAKINI NAPENDA KUJUA TUKIJUA NANI ALIKUWA WA KWANZA INATUSAIDIA NINI?
 
uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,741
2,000
ningeuliza mimi hili swali moderator angeifuta hii thread kabisa.. kila ninachoandika juu ya kigoma kinafutwa.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,453
2,000
1994 uchaguzi mdogo uliofanyika jimbo la kigoma mjini Chadema ndio walishinda uchaguzi huo kupitia kwa Dk walid Amani Kabourou dhidi ya Mgombea wa CCM Azim Premji, ndio jimbo la kwanza kutoa Mbunge wa Upinzani, ndio maana mwamko wa mageuzi mkoa huo upo juu kuna wabunge wa 5 wa upinzani na CCM wa 3. kwa anaye jua historia ya Kilimanjaro naomba atujuze

Kwa Akili yako Upinzania ulianza mwaka 1992?

hujuhi kuwa kabla ya UHURU upinzani ulikuwepo na huko Kilimanjaro na bila kusahahu manyara watu walishawahi kumpiga Chini nyerere na wengine walitaka kupata UHURU kutoka kwa Mkoloni kabla hata ya Tanganyika?
 
meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,162
2,000
Kwa Akili yako Upinzania ulianza mwaka 1992?

hujuhi kuwa kabla ya UHURU upinzani ulikuwepo na huko Kilimanjaro na bila kusahahu manyara watu walishawahi kumpiga Chini nyerere na wengine walitaka kupata UHURU kutoka kwa Mkoloni kabla hata ya Tanganyika?
We doctors are always precise....ndio maana nikamtaka mleta thread awe specific!sijui historia lakini naamini upinzani hakuanza Kigoma!
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,453
2,000
We doctors are always precise....ndio maana nikamtaka mleta thread awe specific!sijui historia lakini naamini upinzani hakuanza Kigoma!

Na hauwezi kuanza huko Daima maana wakati wengine wapo Busy wanajitafutuia Uhuru wao walikuwa wako busy na Biashara ya Utumwa.
Wakati watu wanaboresha maendeleo wao ndio wanautambua upinzani, Wakati watu wana kula matunda ya maendeleo wao ndio wanakumbuka sasa kujenga primary, Sekondari, Chekechea za Kata.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
Kilimanjaro kulikuwa na upinzani kabla hata upinzani haujaanzishwa,na ulipoanzishwa ilito viongozi wa upinzani right away!
 
enoah

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
271
500
Ni kwamba walipata nafasi ya kwanza kuchagua mbunge mara baada ya mfumo wa vyama vingi ila haina maana kuwa ndio wanamageuzi wa ukweli!Kuna kitu watu wengi hawajui kuhusu watu wa kigoma mie nimewafahamu baada ya kuhamia hapa Kigoma na kufanyanao kazi,Wenyeji wa Kigoma hawana chama ila wanachagua mtu kutokana upepo unapoelekea ndio maana hawana msimamo wote ni wepesi kugeuka japo huko mikoani watu huwaona kama wabishi ila sio kwa siasa.Nilikuwa na jamaa tumekaa nao siku Slaa akihutubia Kasulu walimuunga mkono huku wakisema Zitto hafai kwani tangu awe mbunge hajawahi saidia CDM kupata mbunge zaidi yake,Majuzi Zitto alivyokuja wakawa wa kwanza kusema tumuunge mkono Muha mwenzetu tuachane na wachaga.Hakika nawahakikishia 2015 CCM itachukua majimbo mengi kutokana na tabia yao hiyo.Hakuna upinzani hapa ila wanafuata upepo.
 
jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
195
ningeuliza mimi hili swali moderator angeifuta hii thread kabisa.. kila ninachoandika juu ya kigoma kinafutwa.

pole sana,jitafakari kisha uwe unaandika mada za maana si za umbea umbea ulizozizoea
 
mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,938
2,000
Kama ni hivyo basi hata jimbo la iringa mjini nalo ni la kwanza maana kwenye uchaguzi wa 1995 wa vyama vingi iringa ilipata mbunge wa upinzani kupiti NCCR Mageuzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom