Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama mdau wa maendeleo hapa nchini. Naomba salamu hizi ziwafikie Viongozi wote wa Kigoma Mjini kuwa nawaomba waanzishe Mfuko Maalumu wa muda mrefu wa kuwasaidia maendeleo wana wa Kigoma.
1. Michango ichangwa kwa watu wote wenye nia njema na kuipenda Kigoma hata kama sio asilia yao ila wanavutiwa na kuona kiu ya Maendeleo.
2. Mtengeneze Akaunti na namba maalumu kuwa mtu yoyote aweze kuweka chochote kitu kwenye huo mfuko.
3. Anzisheni sehemu za Uwekezaji zenye kuhitaji Mitaji midogo (Muwe na usimamizi wq Hela za Watu): Watu wawekeze Fedha huko kama Hisa kwenye miradi ya maendeleo huko alafu muone namna nzuri mtu au watu watanufaika kwa asilimia kadhaa Fedha ikiwekezwa hapo.
Mfano; Kiwanda cha Mawese; Mimi nikiweka kiasi fulani cha pesa nihakikoshiwe kuna % za faida na rejesho langu la Fedha nitapata Mradi ukiwa unajiendesha kwa uzuri na kupata uhakika wa Fefha zangu kunirudia.
NB
Mengine mtaongezea wengine wadau wa maendeleo na ninyi watu wa Kigoma.
Asante