Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,604
Kabanga, Teacher's college
Okay, Kabanga ndo ilikuwa ndo hospital yetu enzi zile utoto.
Kabanga, Teacher's college
Hapana mimi sio msukuma, mimi ni MPARE halisi from Kilimanjaro. Mwanza natafuta tu mkate wa kila siku
Waooo karibu sana sana sema lini unakuja nitakutumia nauli upande mabasi ya kampuni za AAdventure, Saratoga, Nyamahita and the likeOkay, mi Mwanza ni mwenyeji kidogo, nakuja kama mara nne au tatu kwa mwaka.
OkayOkay, Kabanga ndo ilikuwa ndo hospital yetu enzi zile utoto.
Kuna tofauti kubwa sanaa kati ya mwanamke mzuri na mwanamke mremboMnao sema kigoma kuna wanawake wazuri napata wakati mgumu sana kuwaelewa
Au mje na fasili yenu ya neno WANAWAKE WAZURI
Kuna tofauti kubwa sanaa kati ya mwanamke mzuri na mwanamke mremboMnao sema kigoma kuna wanawake wazuri napata wakati mgumu sana kuwaelewa
Au mje na fasili yenu ya neno WANAWAKE WAZURI
Kabanga ipi hiyi hiyi jirani nabgereji za braza teoKabanga, Teacher's college
kumbe we muhaaaa....Ulivyosema unakaa maeneo hayo nikajua lazima hicho kijiwe ukijue, maeneo yangu sana hayo.
Haaaaa, Raimundo hapa umetisha yaani sisi kumbe ni nooma aiseSiyo kupokezana mkuu, kuna ile unabishana na mtu halafu unaitwa au ghafla inatakiwa ukafanye issue nyingine na ubishi haujaisha, hapo inabidi umwombe mtu aendelee mlipoishia, unachofanya ni kumpa brief ya nini mnabishania.
Baadae ukirudi unaukuta ubishi unaendeleza alipoishia yule aliyekuwa amekushikia ubishi.
Waooo karibu sana sana sema lini unakuja nitakutumia nauli upande mabasi ya kampuni za AAdventure, Saratoga, Nyamahita and the like
mmmh! tutakosa ya soda sasaMimi nataka kupanda Bombadier Q400, kwa hiyo jipange.
Wewe utakua wa kabhula nzwiri wilaya ya kasulu,Siyo kupokezana mkuu, kuna ile unabishana na mtu halafu unaitwa au ghafla inatakiwa ukafanye issue nyingine na ubishi haujaisha, hapo inabidi umwombe mtu aendelee mlipoishia, unachofanya ni kumpa brief ya nini mnabishania.
Baadae ukirudi unaukuta ubishi unaendeleza alipoishia yule aliyekuwa amekushikia ubishi.
Haaaaa, Raimundo hapa umetisha yaani sisi kumbe ni nooma aise
Ndio hiyo hiyoKabanga ipi hiyi hiyi jirani nabgereji za braza teo
Wewe utakua wa kabhula nzwiri wilaya ya kasulu,
Unaomba malazi kwanza ukimanisha poo, hafu unachagua atakae endeleza, ukirudi unapewa na wewe brief walipoishi unalisongesha. Ki mbembe ni pale unabishana hafu ni usiku, mnaita watu kazaa mnakubaliana mlipoishia mnaenda kulala, mkiamka kesho mkakutana mnaaza tena ila ikishindikana kabisaaaaaaa hakuna namna mnapika wali mzichape atakae pogwa ndio mshindi wa ubishi
mmmh! tutakosa ya soda sasa