Kigoma JF users connect

Hahaaa nasikia ubishi ukitokea mnafanya kupokezana

Siyo kupokezana mkuu, kuna ile unabishana na mtu halafu unaitwa au ghafla inatakiwa ukafanye issue nyingine na ubishi haujaisha, hapo inabidi umwombe mtu aendelee mlipoishia, unachofanya ni kumpa brief ya nini mnabishania.

Baadae ukirudi unaukuta ubishi unaendeleza alipoishia yule aliyekuwa amekushikia ubishi.
 
Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo unayotokea mambo yawe mukidee haijalishi ni kigoma mjini, kasulu, kibondo au kigoma vijijini.
Mimi nianze, Napatikana juu ya stendi ya mkoa wa kigoma al maarufu Masanga but now sipo Kg nipo kwenye mihangaiko ya maisha.
You know mtani nasisi inabidi tuje kuwasaidia kujadili
Infact peke enu hamuwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom