nazungumzia kwa sasa kigoma wako saa moja mbele. ni kweli hizi time wana set kwa mipaka na kurahisisha mambo.Haiwezekani kamwe kwa Kigoma kuwa saa moja mbele. Latitudes na longitudes za Kigoma zinaweza kuifanya Kigoma kuwa saa moja nyuma na sio mbele kama unavyosema Mh Red Giant .
Halafu time zones hazifuati longitudes na latitudes pekee. Geographical boundaries zinahusika pia na ndio maana muda (time) wa Kigoma ni sawa na muda (time) wa Tanzania kwa ujumla na si vinginevyo .
tanzania tunatumia masaa ya kwenye longitudo 45 mashariki ya greenwich. mji wa kigoma upo nyuzi 29 mashariki. hapo pana tofauti ya nyuzi 16. kwenye masaa, nyuzi 15 ni sawa na saa 1. hivyo masaa wanayotumia kigoma na masaa halisi kunatofauti ya saa moja.
inabidi wana kigomamuanze kutumia masaa yenu halisi.
We hujui jografia ni ngumu??
mbele au nyuma mkuu?tanzania tunatumia masaa ya kwenye longitudo 45 mashariki ya greenwich. mji wa kigoma upo nyuzi 29 mashariki. hapo pana tofauti ya nyuzi 16. kwenye masaa, nyuzi 15 ni sawa na saa 1. hivyo masaa wanayotumia kigoma na masaa halisi kunatofauti ya saa moja.
inabidi wana kigomamuanze kutumia masaa yenu halisi.
Leka Dutigite
ninamaanisha kwa sasa kigoma wako mbele. nimetumia kigoma yenyewe kama reference. wako saa moja mbele kuliko walivyotakiwa kuwa.
ninamaanisha kwa sasa kigoma wako mbele. nimetumia kigoma yenyewe kama reference. wako saa moja mbele kuliko walivyotakiwa kuwa.
tanzania tunatumia masaa ya kwenye longitudo 45 mashariki ya greenwich. mji wa kigoma upo nyuzi 29 mashariki. hapo pana tofauti ya nyuzi 16. kwenye masaa, nyuzi 15 ni sawa na saa 1. hivyo masaa wanayotumia kigoma na masaa halisi kunatofauti ya saa moja.
inabidi wana kigomamuanze kutumia masaa yenu halisi.
Na yote haya Zito ndio kasababisha vinginevyo muda ungekua kua sawa,
naomba unisahihishe nilipokosea.Mleta maada geography imekupiga chenga sana. Hujua mashariki wala magharibi na wapi muda unakuwa mbele au nyuma. Usilete uzi kama huna maarifa nao. Utaishia kuaibika maana jf ina watalaam wa kila aina
Kwani kuna mtu huwa anabadili saa akitoka dar kwenda kigoma?!