Kigoma iko mbele kwa saa moja!

Kigoma iko mbele kwa saa moja!

tanzania tunatumia masaa ya kwenye longitudo 45 mashariki ya greenwich. mji wa kigoma upo nyuzi 29 mashariki. hapo pana tofauti ya nyuzi 16. kwenye masaa, nyuzi 15 ni sawa na saa 1. hivyo masaa wanayotumia kigoma na masaa halisi kunatofauti ya saa moja.
inabidi wana kigomamuanze kutumia masaa yenu halisi.

Ndo maana mnasema dunia si duara! Nyi wanasayansi wa bongo bwana!
 
Na ndio maana maendeleo yamesuasua sana Mtwara na Kigoma.

Mtwara jua linawahi kuchomoza kuliko sehemu yeyote Tanzania,Kigoma jua linachelewa kuchomoza kuliko sehemu yeyote Tanzania sasa sijui hapo kuna uhusiano gani wa kusuasua kwa maendeleo ya Mtwara na Kigoma.
 
tanzania tunatumia masaa ya kwenye longitudo 45 mashariki ya greenwich. mji wa kigoma upo nyuzi 29 mashariki. hapo pana tofauti ya nyuzi 16. kwenye masaa, nyuzi 15 ni sawa na saa 1. hivyo masaa wanayotumia kigoma na masaa halisi kunatofauti ya saa moja.
inabidi wana kigomamuanze kutumia masaa yenu halisi.

aisee, kumbe TZ nayo kama states? Raha..
 
Haiwezekani kamwe kwa Kigoma kuwa saa moja mbele. Latitudes na longitudes za Kigoma zinaweza kuifanya Kigoma kuwa saa moja nyuma na sio mbele kama unavyosema Mh Red Giant .

Halafu time zones hazifuati longitudes na latitudes pekee. Geographical boundaries zinahusika pia na ndio maana muda (time) wa Kigoma ni sawa na muda (time) wa Tanzania kwa ujumla na si vinginevyo .

Umemaliza mkuu kwa sababu ingekuwa ni longtude peke yake ingebidi hata Moro na Dar kuwe na tofauti ya dakika kadhaa. Mleta mada hebu jielemishe kwenye [hii ramani hapa]
 
Mleta Uzi karudie kupitia geography kipengele cha latitudes n longitudes!!
 
kwa sisi tulioko tunduma - momba mby kwa sasa ni kama wazambia tu coz kila wakati majira yanasoma ya kizambia tu na hata radio zinazopatikana sana ni za kizambia, saa mbili usiku ndo giza linaanza kuingia
 
Uko sawa Mkuu ni nyuma saa moja, sijui kama Serikali hii sikivu iko tayari kurekebisha hii kasoro ambayo imekuwepo kwa miaka chungu nzima sasa.

Kigoma itakua nyuma lisaa limoja itakua saa 16:55.
 
naomba unisahihishe nilipokosea.

Utata upo kwenye kichwa cha habari. Unaposema wana Kigoma wapo Mbele kwa saa 1. Swali; wapo mbele ya nini, nchi au Mji? Kwa ufafanuzi wa ndani imeonyesha kuwa ulimaanisha kama tanzania au Dar ni saa 1.00asbh, basi kigoma wawe mbele saa moja yaani kule kigoma iwe saa 2.00asbh. maelezo yako ni kinyume na kanuni za jografia ambazo zinasema sehem yoyote (nchi au mji) iliyopo mashariki huwa inakuwa mbele ki-masaa au madakika ukilinganisha na nchi au mji uliopo magharibi. Hata jua siku zote linawahi kuchomoza mashariki. Hii ina maana nchi/miji ya mashariki kunatangulia kucha halafu inafuata miji ya magharibi. Ndio wakati tz ni 1.00asbh wenzetu wa malawi, zambia, DRC huwa inakuwa saa 12.00asbh (wapi nyuma saa 1 kwa vile wapo magharibi kwetu) na tz ipo mbele kwao kwa vile ipo upande wa mashariki yao.
Ingeleta maana ungesema muda wa Kigoma uwe/upo mbele ya muda wa zambia Kongo, malawi. nafikiri umenipata mleta mada.
 
ninamaanisha kwa sasa kigoma wako mbele. nimetumia kigoma yenyewe kama reference. wako saa moja mbele kuliko walivyotakiwa kuwa.

kama rwandA na Burundi Wako saa moja nyuma iweje kigoma iwe mbele??mana kigoma inapakana na hizo nchi
 
kama rwandA na Burundi Wako saa moja nyuma iweje kigoma iwe mbele??mana kigoma inapakana na hizo nchi
si ndiyo maana nasema iko mbele! ilitakiwa kuwa sawa na hizo nchi lakini yenyewe iko mbele. ila kuna mambo mengi kwenye kuset time zones.
 
Utata upo kwenye kichwa cha habari. Unaposema wana Kigoma wapo Mbele kwa saa 1. Swali; wapo mbele ya nini, nchi au Mji? Kwa ufafanuzi wa ndani imeonyesha kuwa ulimaanisha kama tanzania au Dar ni saa 1.00asbh, basi kigoma wawe mbele saa moja yaani kule kigoma iwe saa 2.00asbh. maelezo yako ni kinyume na kanuni za jografia ambazo zinasema sehem yoyote (nchi au mji) iliyopo mashariki huwa inakuwa mbele ki-masaa au madakika ukilinganisha na nchi au mji uliopo magharibi. Hata jua siku zote linawahi kuchomoza mashariki. Hii ina maana nchi/miji ya mashariki kunatangulia kucha halafu inafuata miji ya magharibi. Ndio wakati tz ni 1.00asbh wenzetu wa malawi, zambia, DRC huwa inakuwa saa 12.00asbh (wapi nyuma saa 1 kwa vile wapo magharibi kwetu) na tz ipo mbele kwao kwa vile ipo upande wa mashariki yao.
Ingeleta maana ungesema muda wa Kigoma uwe/upo mbele ya muda wa zambia Kongo, malawi. nafikiri umenipata mleta mada.
kigoma iko mbele saa moja kuliko ilivyotakiwa kuwa. kama kigoma ni saa saba baujue ilitakiwa kuwa saa sita. hivyo kuwa saa saba ni kuwa mbele saa moja. harafu nilisema kama dar ni saa 2 kigoma ilitakiwa kuwa saa 1. umepindua.
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Haiwezekani kamwe kwa Kigoma kuwa saa moja mbele. Latitudes na longitudes za Kigoma zinaweza kuifanya Kigoma kuwa saa moja nyuma na sio mbele kama unavyosema Mh Red Giant .

Halafu time zones hazifuati longitudes na latitudes pekee. Geographical boundaries zinahusika pia na ndio maana muda (time) wa Kigoma ni sawa na muda (time) wa Tanzania kwa ujumla na si vinginevyo .

kwa mantiki yako,mbona los angeles california na new york,kuna tofauti kubwa tena sana ya masaa wakati kote ni marekani,kwanini wasitumie time zone moja
 
Last edited by a moderator:
Jinsi unavyoenda magharibi ndio muda huzidi kuwa nyuma,kwa mfano Malawi wapo nyuma kimasaa ukilinganisha na Tanzania
 
kwa mantiki yako,mbona los angeles california na new york,kuna tofauti kubwa tena sana ya masaa wakati kote ni marekani,kwanini wasitumie time zone moja
perepeche For more reference please visit Time Zone – what is it and why have them?

...but a quick answer to your question is:

  • Each time zone is 15 degrees of longitude wide (with local variations) and the local time is one hour earlier than the zone immediately to the east on the map.
  • Time zones' boundaries are irregular mainly because of political factors.
  • Time zones can be determined by how countries' and states' borders are positioned.
  • Individual zone boundaries are not straight because they are adjusted for the convenience and desires of local populations.
  • Moreover, some geographically large countries, such as India and China, use only one time zone but other large countries, such as Russia and the United States, have more than one time zone.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom