Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
- Thread starter
- #21
nazungumzia kwa sasa kigoma wako saa moja mbele. ni kweli hizi time wana set kwa mipaka na kurahisisha mambo.Haiwezekani kamwe kwa Kigoma kuwa saa moja mbele. Latitudes na longitudes za Kigoma zinaweza kuifanya Kigoma kuwa saa moja nyuma na sio mbele kama unavyosema Mh Red Giant .
Halafu time zones hazifuati longitudes na latitudes pekee. Geographical boundaries zinahusika pia na ndio maana muda (time) wa Kigoma ni sawa na muda (time) wa Tanzania kwa ujumla na si vinginevyo .