SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Sisi wanakigoma tunaoishi Dar, DODOMA na ughaibuni tunayo furaha kuufahamisha umma tuna mpango wa kuanzisha Chuo Kikuu mkoani kwetu ili Kutoa elimu kwa watanzania na raia wa nchi jirani. Tutazidi kutaarifiana muda wa usajili ukianza asanteni.