Kigoma: Askari Polisi watatu wauawa kwa mishale

Uharibifu upi panga utaratibu kwamba wawe pale hakuna watu waoga kama wasukuma hilo nina uhakika nalo lkn pia unazani ni vyema kusema kama ulivyosema eti operation inayofanywa inawafaa wasukuma kufanyiwa ni ubaguzi mmbaya sana.
Tatizo lenu wasukuma ni elimu

mmeiharibu shinyanga iliyokua na misitu mikubwa miaka ya 70, sasa hivi sehem kubwa ya shinyanga ni semi desert

Mlipoona mmeharibu kwenu, mkaingia Tabora mnafyeka miti zote na hamuambiliki, sasa hivi Tabora mvua ni za bahati nasibu

na ukiona operation inafanywa ujue taarifa imeshatoka ila wamegoma.
 
Hii ni adhabu kwao kwa nini wanafanya kazi kienyeji hivvyo? Hata huko Tarime DC amekuwa akiwatuma OCD na Polisi kwenda kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo masikini wanyonge kuwapora madilni na mali zao kisha kuwabambikia kesi na bado akaona haitoshi kaufunga Mgodi wote, Wananchi wapo wanajipanga kufanya fujo kubwa endapo OCD ataenda tena na Polisi wake kuwapiga, nguvu ya umma huwa hatari kwa Polisi pindi wakichoka na Uonevu.
Choma nyama geuza ndizi niitie Dada counter !!! Haraka tafadhali
 
Tatizo lenu wasukuma ni elimu

mmeiharibu shinyanga iliyokua na misitu mikubwa miaka ya 70, sasa hivi sehem kubwa ya shinyanga ni semi desert

Mlipoona mmeharibu kwenu, mkaingia Tabora mnafyeka miti zote na hamuambiliki, sasa hivi Tabora mvua ni za bahati nasibu

na ukiona operation inafanywa ujue taarifa imeshatoka ila wamegoma.
Ww elim yako ina mapana gani bro ungekuwa na elim iliyobora ungekuwa mstarabu kwakuwa elimu zao lake pia ni ustaarabu na hekma kama huna hivyo vitu basi ww ni mpumbavu kama unavyoonekana ww
 
kwa ninavyowajua wasukuma hizi Operations ni sawa tu

viburi sana hawa jamaa na ni waharibifu wakubwa wa mazingira.
Hawa jamaa kweli ni shida yaani wakiingia mahali utadhani wana uadui na miti.

Lazima miti yote waikate tena mpaka na mizizi ili isiote tena
Kweli wana shida
 
Watu hawelewi hiyo sheria yenu wakiona mapori na ni Watanzania wanafanya makazi au ufugaji huko porini kinachotakiwa ni kutoa Elimu na kuwapa maeneo ambayo yatatatua kero yao mnapoenda na siraha na huku wao hawana njia ya kutatua tatizo lililopo mnatengeneza mauaji kwenu au kwao..

RIP Makamanda.
Hakuna sheria inayo mkataza mtu kuweka makazi eneo lisilomilikiwa. Serikali muda wote ilikua wapi? Sheria iliopo kwenye katiba ni kua walipwe thamani iliopo. (market value) endapo serikali itachukua eneo hilo kwa manufaa ya umma. Mfumo Katili umefika kwa wenyenao. Magufuli anataka Tanzania kama hii ya watu kuuana. Kwa sababu yeye hatumii Akili anataka wote tuwe kama yeye. Yeye ndio, Amesababisha haya. hivi anafanya kazi gani nyingine, anashindwa kuwajibika.
 
R.I.P askari na wananchi wote waliopoteza maisha.

Tatizo la askari wetu hata hivyo ni kwamba wako too mechanical na hawana weledi kabisa, hasa upande wa negotiations na dispute management.Pia wengi wanatumia nafasi hizo kama njia ya kujipatia kipato.Katika mazingira hayo utu unawaisha kabisa!

Kuna haja ya kufanya juhudi za makusudi ili kuliongezea jeshi letu weledi unaotakiwa na kubadili mtazamo wa askari wetu(mindset).
Usihukumu askari kwa jambo usilojua undani wake hata unawachukia. Hukuwepo kwenye tukio subiri uchunguzi ufanyike.
 
Hakuna sheria inayo mkataza mtu kuweka makazi eneo lisilomilikiwa. Serikali muda wote ilikua wapi? Sheria iliopo kwenye katiba ni kua walipwe thamani iliopo. (market value) endapo serikali itachukua eneo hilo kwa manufaa ya umma. Mfumo Katili umefika kwa wenyenao. Magufuli anataka Tanzania kama hii ya watu kuuana. Kwa sababu yeye hatumii Akili anataka wote tuwe kama yeye. Yeye ndio, Amesababisha haya. hivi anafanya kazi gani nyingine, anashindwa kuwajibika.
Hakuna sheria inayo mkataza mtu kuweka makazi eneo lisilomilikiwa. Serikali muda wote ilikua wapi? Sheria iliopo kwenye katiba ni kua walipwe thamani iliopo. (market value) endapo serikali itachukua eneo hilo kwa manufaa ya umma. Mfumo Katili umefika kwa wenyenao. Magufuli anataka Tanzania kama hii ya watu kuuana. Kwa sababu yeye hatumii Akili anataka wote tuwe kama yeye. Yeye ndio, Amesababisha haya. hivi anafanya kazi gani nyingine, anashindwa kuwajibika.
Hakuna sheria inayo mkataza mtu kuweka makazi eneo lisilomilikiwa. Serikali muda wote ilikua wapi? Sheria iliopo kwenye katiba ni kua walipwe thamani iliopo. (market value) endapo serikali itachukua eneo hilo kwa manufaa ya umma. Mfumo Katili umefika kwa wenyenao. Magufuli anataka Tanzania kama hii ya watu kuuana. Kwa sababu yeye hatumii Akili anataka wote tuwe kama yeye. Yeye ndio, Amesababisha haya. hivi anafanya kazi gani nyingine, anashindwa kuwajibika.
Hakuna sheria inayo mkataza mtu kuweka makazi eneo lisilomilikiwa. Serikali muda wote ilikua wapi? Sheria iliopo kwenye katiba ni kua walipwe thamani iliopo. (market value) endapo serikali itachukua eneo hilo kwa manufaa ya umma. Mfumo Katili umefika kwa wenyenao. Magufuli anataka Tanzania kama hii ya watu kuuana. Kwa sababu yeye hatumii Akili anataka wote tuwe kama yeye. Yeye ndio, Amesababisha haya. hivi anafanya kazi gani nyingine, anashindwa kuwajibika.

Mkuu punguza ukali wa maneno wote tuna hasira ya yanayotokea ila hatupo salama kivile humu si unaona kila Mara watu wanapandishwa kizimani kutaka tujulikane kwa post tunazotuma na zinazowakwaza wao...
 
Asante kunishauri niwe Mnafiki ambao mwisho wake ni kifo, Jaribu kuangalia Katiba ujue haki yako. Mwl. Nyerere alisema hivi "Utiifu ukizidi Huzaa Uoga, Uoga ukizidi huzaa Unafiki, Mwishowake ni kifo" Magufuli ni dhalimu. Raia wengi wamepotezwa na Kuuawa wakati wake kuliko, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete jumlisha pamoja. Ukijumlisha bado huyu fara anawazidi. Sasa tusubiri mpaka itokee kwako au kwenye familia yako?
 
Nikiikumbuka elfu 20 yangu kufeni tu
Na nikijifikiria kuwa mimi ni binadamu,pumzikeni kwa amani
 
Back
Top Bottom