and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,216
- 39,694
Punguzeni maskhara kwenye utani basiUwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
Nini hiki tena?? Halafu hawa warembo rembo wa ccm kumbe ni mboga za wakubwa.Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
KIGOMA HATUNA DENI
🚮Uwanja wa Ndege Kigoma umetajwa kama Uwanja Bora kabisa duniani kwa miundombinu Rafiki kwa watu wenye mahitaji Maalum.
KIGOMA HATUNA DENI
Hakika ComradeMama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari