Kigogo Wizara ya Miundombinu, Bw. Leopord Mjungi ajiua kwa kujipiga risasi

HUYU NAHISI NI FISADI ALISHIRIKIANA MA MAGUFULI NA KWA SASA ANAONA UNGA UTAMWAGIKA MUDA WOWOTE SO KAAMUA KUKWEPA SO (SPECULATION). Mungu aiweke roho yake mahali pema.
Siyo kweli!Kuna issue ya kifamilia ilitokea si vizuri kuiandika hapa@RIP Mjungi
 
Hapana.Family issues
Mmmh nlitaka nichangie lakini huu uzi kumbe ulianzishwa kipindi siwezi ata kujenga hoja,,, R. I. P. Bw, Leopord.
Kwahiyo wakongwe humu polisi hawajawai kutoa sababu za kifo chake au walikausha tu kama kawaida yao
 
Kuna jamaa yangu ambaye alilelewa na huyu mzee alinipa hii story sababu kuu ya kujiuwa ilikuwa ni mke wake, alimuambukiza HIV, mke wake alikuwa mlevi sana alikuwa anatembea na vijana wadogo.

Mzee alikuwa bize sana na kazi pia safari za nje zilikuwa nyingi sana.
 
Kuna jamaa yangu ambays alilelewa na huyu mzee alinipa hii story sababu kuu ya kujiuwa ilikuwa ni mke wake, alimuambukiza HIV, mke wake alikuwa mlevi sana alikuwa anatembea na vijana wadogo.

Mzee alikuwa bize sana na kazi pia safari za nje zilikuwa nyingi sana.
Mzee alikuwa bize na kazi...kuliko kazi ya chumbani,Bora usioe sasa ili ufanye kazi vizuri wanawake wengine hawana uvumilivu wa kusubiri,
bora wauze mechi.
 
Mzee alikuwa bize na kazi...kuliko kazi ya chumbani,Bora usioe sasa ili ufanye kazi vizuri wanawake wengine hawana uvumilivu wa kusubiri,
bora wauze mechi.
Ndiyo hivyo ila mke wake naye ilishaondoka duniani wamebaki watoto hali zao kiukweli inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom