Kigogo mwingine CHADEMA ajiunga na CCM leo

chadema ni chama cha mapambano sio chama cha kupana fedha huko walikoamia ndio kunawafaa watapewa tshirt na kofia kama kawaida
 
Mtela alifukuzwa CDM wala siyo kweli kuwa uliondoka. Pia anatumika na ccm maana uchaguzi wa 2010 alichakachulia na dhambi kwenye ubunge,alivyoenda kwa court,magamba wakampa Tzs.50.0 million akatulia mpaka anafukuzwa CDM,hivyo Mwampamba hana tofauti na wasaliti wengine kama zitto na wengio!
 
Nini Kigogo bana...hata Mburahati Shega tu ... Moles wote watarudi kwao (CCM) kabla ya 2015....
 
Wewe tuliishakujua mambo yako sawa na kina Ben, yaliwashinda tulieni msubiri 2015
 
Mm nilifikiri kapata kazi ya maana kampuni fulani kumbe kajiunga na ccm wote ni wale wale lazima kuna ku-declare interest hapo
 
CCM acheni upumbavu, msitafute umaaufu kwenye misiba kama profesa wa misiba mh. kikwete.
Mazishi yana taratibu zake.

Sikujua kama Tandahimba kuna chadema duh! hili chama limesambaa nchi nzima basi mazee!!
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

We Mtela kwahiyo umejiunga ccm ili ukifa uzikwe na akina Nape? RIP in advance mkuu uzikwe salama
 
'mateka'....

Yani njaa 'shkamoo' sana yani...

Salimia sana shonza. .mwambie kwamba njaa 'shikamoo' sana yani
 
Mtu aliyefukuzwa uanachama Chadema hawezi kuwa na moral authority ya kukinyooshea kidole name kujivika kilemba cha mshauri.

Hao waganga njaa waendelee kurudi chama cha mafisadi tu wala hatuyumbishwi ama kutetereshwa.
 
He was in CHADEMA for nothing but njuruku that he realizes he can't get. The only means to get it is to leave for CCM where such ambitions are very well fulfilled. Good journey for hime but beware, pipo are awakening at a supersonic speed.
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Nina amini kuwa ww ni m2 mzima unajua kuchagua mbichi na mbivu CDM au CCM kipi chama bora CDM ukabila sana na CCM matabaka ndio yanakiumiza chama.
 
Mtu aliyefukuzwa uanachama Chadema hawezi kuwa na moral authority ya kukinyooshea kidole name kujivika kilemba cha mshauri.

Hao waganga njaa waendelee kurudi chama cha mafisadi tu wala hatuyumbishwi ama kutetereshwa.

Hofu yangu ni kwamba siku ambayo mta-realize that u are loosing somethings everyone will be already left. Sasa kwa watu wenye kuwaza sawasawa huwa hawasubiri that to happen. Haiwezekani watu wanaendelea kuondoka na unajifariji kuwa hao ni wasaliti....noooo thats very wrong lazima lipo tatizo la msingi la kushughulika nalo, bahati mbaya watu hawataki kukubali kuwa kuna jambo haliko sawa.
 
Back
Top Bottom