Kigogo mwingine CHADEMA ajiunga na CCM leo

CHADEMA inaendelea kupukutika kila uchao. Wenye akili wote wanaondoka mmoja baada ya mwingine.
 
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.

Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya Tanzania.

Kwa kuwa wewe ni mchumia tumbo tu na wala sio mwanasiasa, najua upo tayari kusema lolote ili mradi mkono uende kinywani.

Tiba
 
Tunamtakia safari njema, ili ajue CDM ndio imemfanya wakamuona mtu huko alikoenda na leo wanaandika habari zao. Ukishindwa kujibeba nenda CCM, ukiwa mzigo nenda CCM, ukipenda fedha za damu nenda CCM, ukitaka kuwaibia wananchi nenda CCM, ukiogopa kutetea wanyonge nenda CCM, ukiwa mzoga nenda ccm, ukiwa mzigo nenda CCM, ukishindwa kazi nenda ccm, ukiwa mtesaji nenda ccm, ukiwa mwizi, nenda ccm, ukiwa mropokaji nenda ccm, ukiwa mfitini nenda ccm, ukiwa mbaguzi nenda ccm, ukiwa ndumiliakuwili nenda ccm.

Uishi kwa amani huko ulipo.
 
jaman mie mgeni hupa j.f lkn naomba mwenye sera nzur za chama chake cha siasa nijiunge-karibuni.
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Wewe mburula huoni kuwa una laana ya mama yako ambae mpaka leo anavaa GWANDA lakini wewe unaona kuvaa gamba ndio busara!!!
 
by MSALANI;
CHADEMA inaendelea kupukutika kila uchao. Wenye akili wote wanaondoka mmoja baada ya mwingine.

kumbe mtela nae ana akili? tena hawaondok wenyew, wanapofukuzwa ndo kwenu wanakuw majembe, tabu kwelikwel
 
Mtela,
njia ya uzima ni njia gani hiyo wakati wanafunzi wanakaa chini,dawa hospitalini hakuna,escrow account inatafunwa,inlation iko juu,shillingi imeporoka.

CCM chalinze 21st century mjengwablog.jpg

bongo hali ya madarasa mjengwablog 8-3-12.jpg
 
Aibu kutoka kwenye Chama cha ukombozi Na kujiunga Na Chama cha kikiloni
 
Unafiki kama huu mimi nikionaga naskiaga kichefuchefu fluu.

Chama haiweZi kukaa na wanafiki.
 
Mtela umebaki kidampa huku jf tu huna lolote mwigulu mchemba kawatumia na amewachoka kwasababu hamna dili tena wewe na hawara yako juliana shonza.poor you
 
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;

"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"

Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.

Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.

Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.

Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Aisee moderators mpo wapi toa huu uongo hivi katibu wa tandahimba nae ni kigogo tobaaa
 
Maelezo yake mwenyewe yanamfunga eti "ametumikia kampuni bila faida yoyote!!!Kumbe Alitaka kupata FAIDA??Basi akaajiliwe SACCOS au BENKI!Kwenye chama ni KUJITOLEA tu na Moyo wa kizalendo si sehemu ya kutengeneza FAIDA.Mwisho,wanachadema hakuna kukata tamaa,UKOMBOZI NI LAZIMA.
 
Weka Picha ya tukio hilo Mkuu Mtela Mwampamba, kwani hivi sasa tumewashitukia baada ya kugundua kwamba mnatumiwa na CCM kama Condom ya "Twanga pepeta". Pia upunguze kuchanga viroba na konyagi ndani ya gongo, utaendelea kulewa zaidi.

Mtela mwampamba nenda kumchukue nke wako Juliana SHONZA yuko mheza anateseka, kulioko kusema mambo ya kufikirika ya CHADEMA, ulitolewa chadema usipike majungu kaka.
 
Last edited by a moderator:
Mtela mwampamba nenda kumchukue nke wako Juliana SHONZA yuko mheza anateseka, kulioko kusema mambo ya kufikirika ya CHADEMA, ulitolewa chadema usipike majungu kaka.
Na bado hawaijui ccm,watatumika kupika propaganda,mwisho wao ni baada ya uchaguzi2015!,
Niwakumbushe,Ibrahim Msabaha kijana mdogo aliyeisumbua ccm jimbo la mji mkongwe ,,alihongwa akadai Maalim Seif amemteka na sababu kubwa cuf ilikuwa inapinga kuhujumiwa na kuibiwa kura 2000, yeye akasema uroho wa madaraka wa seif,baada ya kufanikisha mbinu ya ccm yuko wapi?
2. Lamwai alirudi ccm yuko wapi?
3, Jidawi alimdharau seif na cuf yuko wapi?
4. Chagulani,baada ya chadema kumchagua Meya Manyerere ,yeye na Matata wakahongwa yuko wapi?
5,yule aliyekuwa amemwagiwa tindikali na kuzungushwa na mwigullu nchi nzima eti chadema ilimwagia yuko wapi?
Mwampamba,shonza,chagulani,Matata,na huyo unayeona wewe kigogo kikomo cha ujinga wenu ni 2015, ccm itakuwa imewala damu!
Hivi niwaulize,ni rahisi kumpa ufalme mkimbizi ama mwenyenchi? ,ukinijibu swali hili,basi ccm itawa nafasi za madaraka. Asiyekujua hakudhamini kalaghabaho Mwampamba na shinza!!!
 
hata wewe ni 'kogogo' uliyehama chadema lakini chadema bado ipo!
Habithi we!
 
Back
Top Bottom