Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;
"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"
Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.
Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.
Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.
Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Nini maana ya Kigogo? Kila Mwanasiasa ni Kigogo , na wewe ni Kigogo huko CCM ?
Hivi mama yako naye
ameshajiuzuru kutoka CDM!? Kama hao unawaita VIGOGO basi mama yako
atakuwa LIGOGO maana ni DIWANI wa CDM. Kwanini kwanza usianze
kumkaribisha mama yako CCM badala ya kumuacha CDM aaendelee kupotea
huko? Kweli ukistaajabu ya Mtella ukiona ya Mama Mtella je?
Mtela Mwampamba mama yako ni diwani wa viti maalum kupitia chadema na anapambana kwelikweli. vipi umeshindwa kumshawishi ahamie CCM?! yeye kwenye mkutano alisema "...Mwanangu hajitambui..." yatafakari sana hayo maneno.
Wenzenu wanao ifaidi ccm kwa kupiga madili makubwa kubwa kama lile la epa na escow watakuwa wana wacheka sana watu kama nyie maana mnawasaidi waendelee kupiga dili zaidi sababu wanaona vijana wajinga wajinga kama wewe manafanya kazi ya kuwasaidia ili wao waendelee kulisha matumbo yao na nyie mkiachwa muendelee kipia miayo huku mkuendelea na kazi.Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema; "Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo. Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
khaa!! This isnt personal.....jibu hoja..acha ujinga..Vipi mama yako mzazi anachelewaje kuiona hiyo neema?
Mtela pole sana ndugu your political future imeharibiwa na tamaa zako,utaendelea kutumikishwa ccm mwl mtela aibu kubwa kuhama chama kwa madai mepec mepec kwani matatizo yao hapo tandahimba ndio yata baki hvy milele
ni kujishusha hadhi yako kudebate na boya kama hilo mpika chai wa nape, angekuwa anajiheshimu angeomba ajila za walimu zilizotoka apate kipato halali kisichoondoa utu wake.
mtu mama yake ni chadema na anasema chadema ni misukule hivi huoni kama huyu ana laana ya mama yake? wewe unaweza kuthubutu kumuita mama yako mzazi msukule?