Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
katibu mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) wa wilaya ya tandahimba, hamza salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika chama hicho na kujiunga na chama cha mapinduzi (ccm) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni katibu wa chadema wa wilaya hiyo ya tandahimba ndugu jafari hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia ccm pia amesema;
"kubwa lililonifanya nije ccm ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"
hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi alhaji abdallah bulembo ambaye yuko wilayani tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika mkoa wa mtwara.
Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa chama hicho kujiuzulu na kujiunga na ccm kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa viongozi wa juu wa chama hicho.
Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa chadema ndani ya chama cha mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.
Binafsi, namshukuru mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya viongozi hao wa chadema.
Kidumu chama cha mapinduzi.
maswali yako sio ya msingi.,hivyo kwa heshima na taadhima sitayajibu.Nini maana ya Kigogo? Kila Mwanasiasa ni Kigogo , na wewe ni Kigogo huko CCM ?
Kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya Uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye Uhai na kupinga unafiki.ama kweli tuna makada wa vyama. Kama kweli kazi yako kuu ni kutangaza viongozi walioshindwa kuwajibika na kwamba wanakaribishwa katika chama kingine basi kweli tuna makadi wa vyama!!
Sema huna majibu ya kina kuhusu maswali haya ambayo yamekuzidi kimo , umri, upeo na maarifa.maswali yako sio ya msingi.,hivyo kwa heshima na taadhima sitayajibu.
Thubutu .....Hivi mama yako naye ameshajiuzuru kutoka CDM!? Kama hao unawaita VIGOGO basi mama yako atakuwa LIGOGO maana ni DIWANI wa CDM. Kwanini kwanza usianze kumkaribisha mama yako CCM badala ya kumuacha CDM aaendelee kupotea huko? Kweli ukistaajabu ya Mtella ukiona ya Mama Mtella je?
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa wilaya ya Tandahimba, Hamza Salum amejivua uanachama wake na vyeo vyake vyote katika Chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) sambamba na kiongozi mwingine ambaye ni Katibu wa CHADEMA wa Wilaya hiyo ya Tandahimba Ndugu Jafari Hassan maarufu kama "mwarobaini" aliyehamia CCM pia amesema;
"Kubwa lililonifanya nije CCM ni kwamba nimeitumikia kampuni ya watu kwa muda mrefu sana bila mimi kupata faida yoyote.,tumeona yaliyowakuta wenzetu ambao nao wamekitumikia chama hiko mpaka kufa kwao na Chama kimeshindwa hata kuwazika achilia mbali kuwauguza"
Hamza amepokewa na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi alhaji Abdallah Bulembo ambaye yuko wilayani Tandahimba katika ziara yake ya mikoa ya kusini inayoendelea sasa katika Mkoa wa Mtwara.
Huu ni muendelezo wa viongozi wakubwa wa Chama hicho kujiuzulu na kujiunga na CCM kwa madai mbalimbali, mengi yakiwa ni matendo maovu na unafiki uliokithiri wa Viongozi wa juu wa Chama hicho.
Binafsi nawakaribisha viongozi hao wa Chadema ndani ya Chama Cha Mapinduzi kwani mimi binafsi niliyaona hayo ambayo wanayaona sasa mapema mno. Haiwezekani Chama kinachoongozwa kwa misingi ya fitina na uzandiki kikaweza kubaki na viongozi ama wanachama ambao hawaamini katika misingi hiyo.
Binafsi, namshukuru Mungu kwa kuendelea kuwaonyesha njia watanzania na kuyafichua yale yaliyokuwa yakifanywa kwa siri na chuki zilizokuwa mioyoni mwao kiasi sasa wameziweka dhahiri na kuwabainishia watanzania walio wengi rangi halisi ya Viongozi hao wa Chadema.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
kwanini mkipewa habari njema kama hii huwa mnapata kiwewe.,wameiona njia ya uzima nao wameamua kuifuata.,nami kazi yangu ni kulifikisha neno lenye uhai na kupinga unafiki.
Kila aliyejitambua na kuuona ukweli nitamkaribisha ndani ya chama cha mapinduzi, chama pekee cha siasa kuwahi kutokea katika nchi ya tanzania.