sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,137
- 8,784
Hamjambo,wnj?
Nichukue fursa hii, kuwapongeza wana Kigoda cha Mwalimu Nyerere, na baada ya pongezi hizo pia nichukue fursa hii kuwajuza kuwa Kigoda kinakosa sifa stahiki kwa sababu ya mialiko yao ya wageni wanaotakiwa kuzungumza, mfano mimi binafsi kwa utendaji mwa Mkapa sidhani kama alistahili kuitwa kwenye mijadala kama mzungumzaji maana si msafi.
Wapo walio wasafi waliostahili kualikwa, nadhani kumualika Mpaka ni bora hata mngemualika mlinzi wa Mkapa aje tuzungumze nae.
Mkapa alishindwa kumuishi Nyerere akiwa Ikulu hawezi kumuishi akiwa nje ya Ikulu. Mkapa alisahau kuwa ni Nyerere aliyempa urais, alitakiwa amuenzi kwa kulifanyia taifa kazi kizalendo, mwishowe aliishia kujiuzia Kiwira nk huku taifa likipoteza rasilimali kabambe za kitaifa.
Natoa ushauri, Kigoda kisirudie makosa ya namna hii, wapo wazungumzaji waliomuishi Nyerere, marais wetu wote hakuna hata mmoja aliyemuishi, hakuna haja ya kuwaita kuja kuzungumza na na sisi vinginevyo Kigoda kitakufa.