Naitafuta hotuba ya PLO Lumumba aliyoitoa mwaka 2014 kwenye Kigoda cha mwalimu Nyerere

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,879
4,881
Naitafuta hotuba ya PLO Lumumba aliyoitoa mwaka 2014 (kama sijakosea) kwenye Kigoda cha mwalimu Nyerere pale Nkrumah hall UDSM. Hotuba hii ni maarufu kama THE TRAGEDY OF AFRICA.

Kama una audio yake please nisaidie kuna kazi nataka niifanyie. Nilikua nayo lakini virus walifanya yao wakaondoka nayo.

Natanguliza shukrani

IMG_20200213_164328_750.JPG
 
Ingia youtube utaipata!Nilikuwepo siku hiyo!
Huyo huwa mbwataji tu huwa Hana presentation yeyote anapiga mayowe tu na Kiingereza chake Cha kujishebedua .

Hata Sijui huwa anaalikwa kwa ajili ya Nini .Mtu anakuja mikononi mweupe presentation Hana !!!!
 
Kwakweli siku hiyo alizungumza mambo makubwa sana juu ya Africa na tulimpigia makofi sana!
 
Naitafuta hotuba ya PLO Lumumba aliyoitoa mwaka 2014 (kama sijakosea) kwenye Kigoda cha mwalimu Nyerere pale Nkrumah hall UDSM. Hotuba hii ni maarufu kama THE TRAGEDY OF AFRICA.

Kama una audio yako please nisaidie kuna kazi nataka niifanyie. Nilikua nayo lakini virus walifanya yao wakaondoka nayo.

Natanguliza shukrani

View attachment 1356360
.Ninayo ngoja niangalie namna yakuiweka hapa kama itakubali.Ina ujazo wa mb 98.25 na ina urefu wa dakika 102.
 
Back
Top Bottom