Kigo-AMBILI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigo-AMBILI

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by brobiz, Mar 28, 2012.

 1. brobiz

  brobiz JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Nimepata selection ya kwenda kigonsera wakuu mnayoifahamu tafadhal naomben mnijuze yafuatayo-
  1.iko mkoa gan?
  2.boys au mixture
  3.perfomance yake
  4.iko town au bush
  5.mabaya na mazuri ya kigo
  na mengineyo ya ziada,natanguliza shukran
   
 2. n

  ngwini JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huko ni zero 2 mkubwa,shule hpo Songea nje ya mji
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Tafuta shule ya private 2 mdogo wangu,huko unaenda kutafuta zero tu.
   
Loading...