Kigezo cha Umri kwenye mahusiano

Kigezo cha Umri kwenye mahusiano

asante sana usiwe na papara katika kuchagua na utakayemuomba ndiyo utakaye mpata
 
asante sana usiwe na papara katika kuchagua na utakayemuomba ndiyo utakaye mpata

Samahani dada naona una tatizo laku Reply post ya mtu !

Naweza kukusaidia ?
 
hongera jamani,vijana wa sikuhizi hata kupika uji wanajua kweli?
Ukiugua tu wao ndiyo wanaugua zaidi ila kama ungempata kijana wangu hutautia maana nyayo alifuata!!! Ni mpishi mzuri sana. Mtoto mlee njia ipasayo hata asiisahau hadi uzee wake
 
Back
Top Bottom