Kigezo cha dini kinaninyima mwanamke

Kigezo cha dini kinaninyima mwanamke

Thanks!

Huu ndiyo uchawi mbaya sana wazungu na waarabu walitufundisha na kujikuta tunabaguana sisi wenyewe Mkuu.
Indeed, Lakini tusilaumu wengine kbs !!! Mkuu hulka ya ubaguzi ipo ndani ya kila kiumbe !!
UBAGUZI haunaga MTU/KABILA/TAIFA nk... (hiyo ni topi ingine kbs)

Mkuu wewe na yeye mfanye COMPROMISES.. yaani shusheni mambo kadha katika kiwango cha 50% !!!
 
Kumpata mwezi mlio na imani moja n nzuri kwa faida yenu na familia mtakayoianzisha
 
Thanks Mkuu!

Hiki kigezo cha dini huwa nakichukia sana na huyu namvumilia tu kwa sababu anasema anapenda iwe hivyo sema tu wazazi.

Kiukweli ninaposikia mtu anaweka dini mbele katika masuala ya kuoana huwa namdharau sana kwa sababu ni kuendekeza ubaguzi tu usio na tija yoyote.
Mkuu we mwenyewe unaendekeza kigezo cha dini ndo mana hutaki kubadili
 
Indeed, Lakini tusilaumu wengine kbs !!! Mkuu hulka ya ubaguzi ipo ndani ya kila kiumbe !!
UBAGUZI haunaga MTU/KABILA/TAIFA nk... (hiyo ni topi ingine kbs)

Mkuu wewe na yeye mfanye COMPROMISES.. yaani shusheni mambo kadha katika kiwango cha 50% !!!
Umenena vizuri sana Mkuu.

Nitaufanyia kazi ushauri wako!
 
Siku hizi ukiogopa kila kitu duniani umekwisha,
Nikiwa na maana ya kwamba muoe huyo binti, muwe mke na mume,
Wala asiogope kuwa ndugu na wazazi watamtenga apotezee tu Kama watamtenga poa kama wasipomtenga sawa tu,
Koz hakuna mzazi anayekataa mwanaye au kumtenga hiyo ni mikwara tu,
Oa kama hawataki pigs mimba Lea,
Acha kupigwa biti/ mkwara wewe motto wa kiume,
Never afraid anything in this world.
Koz kila nafsi itaonja mauti, unachoogopa wewe ni nini?
 
Wazungu walizileta hizi dini ili iwe hivyo.....watu watengane,wasifanye mambo ya maana....wao mbona kwao hatusikii kama haya!
 
Dini ni kitu complicated sasa kama msipoweka misingi thabiti wakati mnaanza mahusiano yenu
 
Siku hizi ukiogopa kila kitu duniani umekwisha,
Nikiwa na maana ya kwamba muoe huyo binti, muwe mke na mume,
Wala asiogope kuwa ndugu na wazazi watamtenga apotezee tu Kama watamtenga poa kama wasipomtenga sawa tu,
Koz hakuna mzazi anayekataa mwanaye au kumtenga hiyo ni mikwara tu,
Oa kama hawataki pigs mimba Lea,
Acha kupigwa biti/ mkwara wewe motto wa kiume,
Never afraid anything in this world.
Koz kila nafsi itaonja mauti, unachoogopa wewe ni nini?
Hahahah

Poa Mkuu.

Uoga wako ndiyo umasikini wako.
 
Back
Top Bottom