joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,054
- Thread starter
- #21
Hapa kuna mkristo na muislamu mkuu.Kuna sababu zingine uwa naona za kipuuzi sana, ktk kigezo cha dini hapo ugumu uja either Kati yenu mmoja mwislamu na mwingine mkristo, Lakini eti mnaachana kwa kigezo cha dini ikiwa wote wakristo hii aingii akilini.
Eti KKKT na TAG mfano lakini Mmmh mtakuwa amko serious.
Hiyo ndiyo changamoto kubwa sana.