Kigezo cha dini katika mapenzi

Kigezo cha dini katika mapenzi

Fuata moyo wako mkuu, tena hapo kuna afadhali mpo ndani ya dini moja, ingekuwa ni dini tofauti hapo kungekuwa na utata zaidi. Case yako ni simple mno. Tena nzuri zaidi binti ameonesha nia thabiti.
 
ndio ninachofikiria tu,niwanunulie wazee hata rav 4 new model ili wanipe go ahead.

hapo utakuwa umewahonga, wewe kaa nao vizuri tu watakuelewa...anza na mama peke yake kwa muda wake mkiwa katika mazungumzo ya kawaida, yeye ni rahisi zaidi kufikisha ujumbe kwa mzee na akaelewa. Kama mama ndiyo mtata basi anza na baba.
 
Huwa natamani sana kujua haya madhehebu ya kikristo huwa yametofautiana wapi. Lutheran, Catholics, Protestants, etc.

Tafuta maana ya Protestant kwanza usichanganye madesa.

Tofati ni moja tu, Pentecoste churchs wao wanaamini katika ulokole na haya siyo sacramental churchs (born again)

Catholic, Lutheran na Anglican ni kitu kile kile tu haya makanisa yamejimega kutoka Catholic ili kuachana na amri za Vatican na Papa.

Othordox ili ndio kanisa la kale zaidi na ndio maana unakutana na neno Greek Othordox.

Nitalejea niko bize kidogo.
 
Dini ni muhimu sana kwenye mapenzi hasa ndoa.Maelezo yako yanaonesha mnatarajia kuoana baada ya miaka miwili ushauri wangu kwa kuzingatia pia Mimi ni MSABATO ...huyo binti aanze kusali SDA abatizwe na awe mshiriki wa kanisa.Hiyo itakusaidia kumkuza kiroho na kufata imani yako ..akifanya hivyo na wazazi wako wakiona ameanza utumishi hawatakuwa na pingamizi lolote.
NB: ni vizuri kufuatilia kwa ukaribu kuna watu wengine hasa
wasichana wanakubali tu kuwa watabadili dini wanaweza badili kweli lakini ukisha muoa tu sababu kibao haendi/ hashiriki kazi za kanisa ...anachobakia nacho ni kufikiria dini yake ya awali hivyo tunapaswa kuwa makini zaidi ndo sababu wazazi wanasisitiza msabato pure
Karibu south nyanza conference kaka
 
we sio alkaida mbona kuna ishalla pale 2cje shauli m2 alaf ukamuolee wake wa4 huko ila kama 7to c mbaya kama umempenda dem waeleze wazaz ALAF KUNA MSTALI UNASEMA MKE MWEMA ANAPATKAN KWA BWANA au ndo hyo nickukatishe man we uckwame bonga wa wazee wakuelewe
 
Kaka kaa chini na wazazi waeleze kwa upole huyu ndio chaguao langu. Japo huwaga ni wagumu kuelewa simama kwa nafasi yako wkiwa wakali waache usibishane nao ludi siku nyingine waeleze msimamo wako huo huo watakuelewa tu. Mimi wazazi wangu ni walokole na nimeolewa na mwislam ilikuwa kazi ngumu kunielewa haswa mama lakini mwisho wa siku alikubali na ndoa yangu imekua mfano wa kuigwa tofauti na hao aliowaozesha na walokole wenzie. mshirkishe Mungu jambo hilo kama ni mpango wake litakubaliwa tu na wazazi.
 
Dini ni muhimu sana kwenye mapenzi hasa ndoa.Maelezo yako yanaonesha mnatarajia kuoana baada ya miaka miwili ushauri wangu kwa kuzingatia pia Mimi ni MSABATO ...huyo binti aanze kusali SDA abatizwe na awe mshiriki wa kanisa.Hiyo itakusaidia kumkuza kiroho na kufata imani yako ..akifanya hivyo na wazazi wako wakiona ameanza utumishi hawatakuwa na pingamizi lolote.
NB: ni vizuri kufuatilia kwa ukaribu kuna watu wengine hasa
wasichana wanakubali tu kuwa watabadili dini wanaweza badili kweli lakini ukisha muoa tu sababu kibao haendi/ hashiriki kazi za kanisa ...anachobakia nacho ni kufikiria dini yake ya awali hivyo tunapaswa kuwa makini zaidi ndo sababu wazazi wanasisitiza msabato pure
Karibu south nyanza conference kaka

Mnasumbuliwa na akili ndogo tu wala si bure, hata Yesu anawacheka maana hakuwaachia madhehebu na kama kuna andiko la dhehebu lako ndio analitambuwa Yesu nipe andiko na mimi nijiunge kwenye hilo kanisa lenu.
 
kwani miungu yenu ina ugomvi, haioleani? au haiwezi kusameheana makosa ili nyie mfunge ndoa, ..... nina maswali mengi saaaaaaaana
 
kaka afadhali mara mia we mkiristo kwa mkiristo...sasa nyingine mwanamke mlokole we msilamu.mi imefika maala nimeamua kuacha tu.maana nimeogopa kuja kujuta
 
Mnasumbuliwa na akili ndogo tu wala si bure, hata Yesu anawacheka maana hakuwaachia madhehebu na kama kuna andiko la dhehebu lako ndio analitambuwa Yesu nipe andiko na mimi nijiunge kwenye hilo kanisa lenu.

Swala la dini na imani ni gumu sana kila dini ina misingi yake Mkuu na sivyo unavyofikiria...ndo kwa sababy kukawepo na Uhuru wa dini na kuabudu hivyo kama mtu hakubaliani na misingi ya dini husika atahamia pale anapoona pana mfaa na si kubadilisha misingi ya dini/ dhehebu husika.
Niliyoandika hapo ndio msingi wa wasabato.
 
Religion is Mankind Opium.
 
Aisee mimi bwana nina mpenzi wangu ambaye tunampango inshaallah miaka miwili ijayo tuoane.

Sasa nimejaribu kuleta hili swala kwa wazazi wangu japo sikuwa rasmi lakini wanaonekana kama hawajapenda na mipango yangu ya kuoa msichana mkatoliki wakati mimi ni sabato.

Msichana wangu hana tatizo juu kubadili dini lakini hata hivyo bado wazazi kama wanataka msabato pure.

Isitoshe huyo msabato sijampata bado ila huyu binti namjua vizuri mpaka wazazi wake.

Napata wakati mgumu na hili swala kwamba niwafurahishe wazazi au nafasi yangu?
waelekeze wasipo elewa oa kwanza wataelewa kwa vitendo
 
Dini ni muhimu sana kwenye mapenzi hasa ndoa.Maelezo yako yanaonesha mnatarajia kuoana baada ya miaka miwili ushauri wangu kwa kuzingatia pia Mimi ni MSABATO ...huyo binti aanze kusali SDA abatizwe na awe mshiriki wa kanisa.Hiyo itakusaidia kumkuza kiroho na kufata imani yako ..akifanya hivyo na wazazi wako wakiona ameanza utumishi hawatakuwa na pingamizi lolote.
NB: ni vizuri kufuatilia kwa ukaribu kuna watu wengine hasa
wasichana wanakubali tu kuwa watabadili dini wanaweza badili kweli lakini ukisha muoa tu sababu kibao haendi/ hashiriki kazi za kanisa ...anachobakia nacho ni kufikiria dini yake ya awali hivyo tunapaswa kuwa makini zaidi ndo sababu wazazi wanasisitiza msabato pure
Karibu south nyanza conference kaka

Asante kaka,nitakaribia huko huenda nikaona chema ndani ya zizi la Bwana.
 
Kaka kaa chini na wazazi waeleze kwa upole huyu ndio chaguao langu. Japo huwaga ni wagumu kuelewa simama kwa nafasi yako wkiwa wakali waache usibishane nao ludi siku nyingine waeleze msimamo wako huo huo watakuelewa tu. Mimi wazazi wangu ni walokole na nimeolewa na mwislam ilikuwa kazi ngumu kunielewa haswa mama lakini mwisho wa siku alikubali na ndoa yangu imekua mfano wa kuigwa tofauti na hao aliowaozesha na walokole wenzie. mshirkishe Mungu jambo hilo kama ni mpango wake litakubaliwa tu na wazazi.

Mfano wako nimeupenda sana,kiukweli sio wote wanaooana dini tofauti wanaishia kugombana na kutengana.Zipo ndoa nyingi zilizodumu japo ni dini tofauti.
 
kaka afadhali mara mia we mkiristo kwa mkiristo...sasa nyingine mwanamke mlokole we msilamu.mi imefika maala nimeamua kuacha tu.maana nimeogopa kuja kujuta

Hata mimi kuna wakati wazo kama lako linanijia ila bado sijakata tamaa
 
Wazazi wana umuhim sana kwenye swala nyeti kama hilo binafsi sioni kama Kuna shida sana kwa sababu Kuna vitu vingi mtaendelea kushare kama familia hata mkiwa dini moja hamtaathirkka sana baada ya muda maisha yatakuwa sawa cha muhim kaa na wazazi uwaeleze upande mwingine wa mchumba wako huku ukijua kabisa kuwa wazazi kama Kuna kitu wanazuia kwako Mara nyingi husukumwa na hofu ya upendo kwamba mtoto wao asije pata shida baadae kwa hiyo ongea nao kwa umakini kama mchumba angekuwa Muslim hata mi ningesema piga chini
 
Back
Top Bottom