Kigezo cha dini katika mapenzi

Kigezo cha dini katika mapenzi

Mara zote huanza mapenzi, dini baadaye. Ndiyo maana ulivovutiwa naye kwa mara ya kwanza hakuwa ameandikwa dini usoni, hata ulivoongea naye siku ya kwanza sidhani kama ulimuuliza dini yake! Jifunze kufanya maamuzi yako, usiwe nyenyenye mtoto wa mama kila kitu unaenda kusemelea!
 
acha nimeze mate kwanza! ila kaka kua makini na moyo wako! Kwanza je imani yako inakuambiaje juu ya hilo? je kwanin ww usiwe mkatoliki?

mimi nikiwa mkatoliki ndo wazee presha itawapanda kbs
 
Kaa chini na wazazi wako waeleze kwa ufasaha kua huyu ndo mke uliemuona na uwaambie amekubali kubadil dini na waambie umempenda yeye na huna mwingine.

Wazaz wako sio watakao kaaa na huyo binti ni wewe mwenyewe hivo.jukumu la kutafta mke bora lipo mikononi mwako, wazaz wanatakiwa kua washaur na sio kuchagua yupi bora kwao

yah kuna kipindi nikajaribu kuangalia mabinti wa imani yangu, kwakwel nikiwalinganisha na huyu wangu wa sasa anawazidi mno
 
Mara zote huanza mapenzi, dini baadaye. Ndiyo maana ulivovutiwa naye kwa mara ya kwanza hakuwa ameandikwa dini usoni, hata ulivoongea naye siku ya kwanza sidhani kama ulimuuliza dini yake! Jifunze kufanya maamuzi yako, usiwe nyenyenye mtoto wa mama kila kitu unaenda kusemelea!

ndio ninachofikiria tu,niwanunulie wazee hata rav 4 new model ili wanipe go ahead.
 
yah kuna kipindi nikajaribu kuangalia mabinti wa imani yangu, kwakwel nikiwalinganisha na huyu wangu wa sasa anawazidi mno

basi waambie wazazi wako kua hujamuona kama yeye na ndo umemchagua yeye
 
tofauti gani ipo kati ya msabato na mkatoliki....?

Mkatoliki ala kitimoto, msabato hali, mkatoliki jumamosi anapika na anaenda haja, msabato hapiki, hali wala haendi haja, wakati wa tendo mkatoliki anatikisika, msabato dini hairuhusu, niongeze nyingine@Kabanga?
 
Makubwa haya, atoke ukristo aingie ukristo? naona ni kama kuruka ... kukanyaga...

Halafu mkatoliki, ni Insha Allah.

Faiza kumbe huelewi , yeye mwanaume ni mkristo na mwanamke ni mkristu.
 
Kiukweli yapo mambo ambayo kimsingi ni muhimu kuzingati ktk kuchagua mwenza lazma uendane naye si kuokota tu

1. MWENENDO AU TABIA YAKE
2. HISTORIA YA FAMILIA YAKE MAANA WENGINE WACHAWI tehhhh
3. uelewa wake. Hapa elimu pia inaangaliwa
4. Dini yake....... Ni ngumu kumbadilisha mtu mtizamo wa dini yake katka utu uzima.. Atajilazimisha tu ili akupate.. Lakin kimsing imani yake bado itakuwa ktk dini iliyomlea

na ukweli ni kuwa watu waliooana kwa kubadilishana dini.... Mmoja akifariki au wakiachana kila mtu anarudi ktk dini yake ya awali
 
mi nimetafuta MPAGANI/KAFIRI bado sijafanikiwa, hata machangudoa almost wote wana dini zao, aaagh! nimeamua kubaki bachela tu
 
Kiukweli yapo mambo ambayo kimsingi ni muhimu kuzingati ktk kuchagua mwenza lazma uendane naye si kuokota tu

1. MWENENDO AU TABIA YAKE
2. HISTORIA YA FAMILIA YAKE MAANA WENGINE WACHAWI tehhhh
3. uelewa wake. Hapa elimu pia inaangaliwa
4. Dini yake....... Ni ngumu kumbadilisha mtu mtizamo wa dini yake katka utu uzima.. Atajilazimisha tu ili akupate.. Lakin kimsing imani yake bado itakuwa ktk dini iliyomlea

na ukweli ni kuwa watu waliooana kwa kubadilishana dini.... Mmoja akifariki au wakiachana kila mtu anarudi ktk dini yake ya awali

Mmh hii sentensi ya mwisho nahisi inaukweli ndani yake
 
Mkatoliki ala kitimoto, msabato hali, mkatoliki jumamosi anapika na anaenda haja, msabato hapiki, hali wala haendi haja, wakati wa tendo mkatoliki anatikisika, msabato dini hairuhusu, niongeze nyingine@Kabanga?

Ahahah eti mkatoliki anatikisika msabato dini hairuhusu...
 
Back
Top Bottom