kigamboni imeuzwa?

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,102
15,992
wanajamii TZ sijui vipi,wakati watu bado wana machungu ya hawa waarabu wanavyowafanyizia wamasai huko loliondo nimepata tetesi eti kigamboni ashagawiwa mmarekani??!sijui kweli au vipi naomba mwenye data tujulishane.
 
Acha kuweka mambo ya uraibu hapa!JK ameshazungumza paleKilimani Club Dodoma wakati wa kikao cha bunge labajeti kuwa hizo ni chokochoko za wasiopenda maelendeleo kwani Kigamboni ni sehemu ya Tanzania na ni lazima iimarishwe kwa kujengwa manzari nzuri na kazi hiyo inafanyika na serikali ya TZ.
Jamani mnatia aibu kwa post zingine zisizokuwa na macho wala miguu,wakati tunaangalia mambo ya uchaguzi wa chadema hapo 4/9/09 wewe unaturudisha nyuma kabisa!Umetumwa nini kuharibu mada hapa?!
 
nimeuliza tu naona wewe ndo umetumwa mbona unakua mkali?
 
ha, wewe unashangaa kigamboni, mbona nchi yote ishauzwa zamaani hata watu wake ni watumwa!
 
Back
Top Bottom