Kigamboni: Hali ya usalama si shwari

Kigamboni: Hali ya usalama si shwari

Hali imetulia ss.. Vijana ahsanteni kwa ushirikiano wenu.. Pamoja tunaweza...!
 
Kufuatilia ninamaanisha kujua kama Polisi wa taarifa ya matukio haya, hatua zinazochukuliwa na Jeshi hili ikiwa ni pamoja na kuimarisha ulinzi na vikundi vya ulinzi shirikishi.
Kamanda, kuna kazi nyingine ni za serikali... sio zako

suala la ulinzi na usalama kwa ujumla linaangukia serikalini, wee ni kuhamasisha ulinzi jamii na mawasiliano bora baina ya mtu na mtu


HILI SI LA LEO WALA JANA: USHAURI, TENGENEZA CONCRETE DOSSIER YA MATUKIO YA UVUNJAJI AMANI, NINI KILIFANYIKA NA NANI NA MWISHO WAKE ULIKUA UPI

IF YOU DO THAT UTAKUA UMEFANYA KUBWA KULIKO "KUFUATILIA"
 
Moja ya changamoto tunayoipata ni ushirikiano hafifu toka kwa wananchi kwenye masuala ya ulinzi shirikishi, eneo la Feri ni moja ya maeneo yenye changamoto.
Mwaka jana kulikuwa uhalifu mwingi maeneo ya Kibada na Kisota, wananchi walihamasika kuunda vikundi vya ulinzi shirikishi kupitia Serikali za mitaa, sasa hivi maeneo haya yana utulivu.
 
huku kigamboni yaani wezi wamekwisha kuwa kama watemi! Wanaiba bila woga, wanatembea kama 10 hivi! Inamaana wakikosa barabarani wanavamia kwenye sehemu za wanafunzi. Huku Si salama hata kidogo kwasababu wezi wameachiwa wanatamba na silaha zao za visu!
 
acha uongo na kutujazia nosense kwenye server yetu mbunge aseme anafuatilia wewe unajitia hali shwari mitanzania bwanaa...

utajuaje labda na yeye anahusika kwa upande mwingine..
 
ina maana ulikuwa hujui nini ndio madhara hayo ya kuwa mbunge kigamboni unakaa sinza mheshimiwa itabidi tuwaambie wananchi wa kigamboni waanze kuwa choma moto tu...

Labda ameyakimbia Majambazi yenye silaha kali ya kule Kigamboni....
Hana Tofauti na Mwanaume anayeamua kuhama nyumbani kwake na kwenda kuishi kwa watu.. Damn!!
 
Nimewasiliana na OCD. Wana taarifa kuhusu matukio haya. Baadhi ya wahusika kwenye mtandao huu wameshakamatwa. Tuendelee kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi na vikundi vya Ulinzi Shirikishi kwenye eneo hili la Feri
Ahsante sana. Msalimie kamanda Anna Komu
 
"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe" Polisi wako Arusha kulinda hali za kiusalama kutokana na taarifa za kiintelijensia.
 
Nimewasiliana na OCD. Wana taarifa kuhusu matukio haya. Baadhi ya wahusika kwenye mtandao huu wameshakamatwa. Tuendelee kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi na vikundi vya Ulinzi Shirikishi kwenye eneo hili la Feri

Asante sana Mbunge unayejali wapiga kura wako
 
Huko Kigamboni si ndio kwa yule Diwani wa ccm ,ambaye ni mwizi wa magari,sijui kaacha kale ka tabia au ndio ameadvance zaidi..........!!
 
Msisahau nyuma ya uwanja wa Nyamagana mwnza vjana wanapiga rober vbaya mno
 
huku kigamboni yaani
wezi wamekwisha kuwa kama watemi! Wanaiba bila woga, wanatembea kama 10
hivi! Inamaana wakikosa barabarani wanavamia kwenye sehemu za wanafunzi.
Huku Si salama hata kidogo kwasababu wezi wameachiwa wanatamba na
silaha zao za visu!

Nyie wenyewe hamna umoja! hivi watu kumi wanaweza kusumbua mtaa mzima mkiamua kuwashughulikia? mbona hawaendi kuiba Kitunda!? acheni uoga!
 
Mheshimiwa swala usafiri wa Kigamboni - Kongowe tunaomba ulifanyie kazi daladala zinakata routes sana hazifiki kongowe.

Likasu! Jambo hili nimelifikisha Sumatra na kuahidi kulifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuanzisha ruti ya Kivukoni-Muhimbili. Bado ninaendelea kulifuatilia.
Kwa wakazi wa Kigamboni naomba mjiunge na ukurasa wa Facebook "The Kigamboni I want", tunaweka taarifa mbalimbali mbalimbali kuhusu Kigamboni
 
Huku kwe2 kuna kundi la ukweli wanaitwa wazee wa cuf wapo masjid fulani hivi, hao ukiibiwa unaenda na buku 50 zako unawapa then unawatajia wahusika wako, wao wanaenda mpk kwao then wanamwita mbele ya wazazi wake wanaua palepale then wanaondoka ndani ya siku 1 tu waizi si chini ya watano wanaenda ahera. Hii imeleta hali ya usalama sn hapa na waizi wanaenda iba mbali na hapa na wengne wamebadili job nw wanauza chips na mi2mba maana washazika raia kibao.
 
Back
Top Bottom