Kigamboni: Hali ya usalama si shwari

Kigamboni: Hali ya usalama si shwari

Nyie wenyewe hamna umoja! hivi watu kumi wanaweza kusumbua mtaa mzima mkiamua kuwashughulikia? mbona hawaendi kuiba Kitunda!? acheni uoga!

sio kwamba wapo 10 na wanajulikana, ila mara nyingi wanatembea kundi la watu kama kumi hivi usiku wakiwa na silaha za visu, halafu kuna wezi wengi sana kana kwamba tupo Mogadishu kumbe tupo Kigamboni Tanzania yaani wezi huku wanachekewa. labda umoja unaongelea wewe basi na wanafunzi wawe wanatembea kwa makundi kama wenyewe wakiwa 10 basi wanafunzi wawe 20 pamoja na silaha za visu, na wakitoka chuo watoke kwa makundi na silaha zao. na wakienda kutafuta mahitaji basi waende kwa makundi na silaha zao. ndio umoja unaomaanisha!? tumekuja kusoma na sio kupambana na wezi! jukumu la kupambana na wezi ni la polisi.
 
sio kwamba wapo
10 na wanajulikana, ila mara nyingi wanatembea kundi la watu kama kumi
hivi usiku wakiwa na silaha za visu, halafu kuna wezi wengi sana kana
kwamba tupo Mogadishu kumbe tupo Kigamboni Tanzania yaani wezi huku
wanachekewa. labda umoja unaongelea wewe basi na wanafunzi wawe
wanatembea kwa makundi kama wenyewe wakiwa 10 basi wanafunzi wawe 20
pamoja na silaha za visu, na wakitoka chuo watoke kwa makundi na silaha
zao. na wakienda kutafuta mahitaji basi waende kwa makundi na silaha
zao. ndio umoja unaomaanisha!? tumekuja kusoma na sio kupambana na wezi!
jukumu la kupambana na wezi ni la polisi.

Kwa mujibu wa katiba ya nchi kazi ya ulinzi na usalama ni ya wote,ukiachilia mbali askari wachache walioajiriwa,cha msingi,kama wanajulikana,taarifa za kijasusi zifike kwa maofisa upelelezi kutoka kwenu ili wasakwe mmoja baada ya mwingine,umenielewa?
 
Ni kweli Kigamboni hali si shwari kwa wanafunzi, wanaporwa hovyo, Kwa kuwa Mbunge umesikia fanyia kazi.
 
kama mnawajua anzeni na nyie kuua moja baada ya mwengine nadhani wataisha kuliko kuwategea watu wanaosubiri hela za pande zote mbili.. haya nendeni kwa page ya mb wenu kingamboni he want..
 
kama mnawajua anzeni na nyie kuua moja baada ya mwengine nadhani wataisha kuliko kuwategea watu wanaosubiri hela za pande zote mbili.. haya nendeni kwa page ya mb wenu kingamboni he want..

wakichoka watu kupigwa kabali kujeruhiwa na visu pamoja na kuvamiwa lazima wezi wafe tu! Maana wameisha fanya wanafunzi ni mtaji wao halafu wanachekewa tu! Hakuna kukubali, hakuna mwafaka... Watu wachache hawawezi kujifanya watemi... Wanaiba na kujeruhi watu kwa silaha halafu wanachekewa!
 
Likasu! Jambo hili nimelifikisha Sumatra na kuahidi kulifanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuanzisha ruti ya Kivukoni-Muhimbili. Bado ninaendelea kulifuatilia.
Kwa wakazi wa Kigamboni naomba mjiunge na ukurasa wa Facebook "The Kigamboni I want", tunaweka taarifa mbalimbali mbalimbali kuhusu Kigamboni
hivi nyie watu huwa mnajua mnawasiliana na watu wa aina gani?
 
Suala la usalama inatakiwa kupewa kipaumbele maana watu wanajitahidi kujitafutia riziki kwa shida ila hawakai kwa amani. Karibu kina kona ya Dar utapewa story ya watu kuvamiwa usiku.
Je, nini kifanye kupunguza tatizo?

Je, mbezi luis nimeambiwa walimvamia mwanajeshi na kumkata kata mapanga na kuondoka na vitu.....

kwa uyo mwanajeshi saizi yake wao hujishughulisha sana na wake za watu ,kama huko kigamboni waume hatujui hatima za wake zetu sababu yao.
 
kwa uyo mwanajeshi saizi yake wao hujishughulisha sana na wake za watu ,kama huko kigamboni waume hatujui hatima za wake zetu sababu yao.

Duh kumbe ndiyo haya tena. Pole kwa kuchukuliwa wake zenu kwani wanawabaka au wanakubali wenyewe?
 
Huku kwe2 kuna kundi la ukweli wanaitwa wazee wa cuf wapo masjid fulani hivi, hao ukiibiwa unaenda na buku 50 zako unawapa then unawatajia wahusika wako, wao wanaenda mpk kwao then wanamwita mbele ya wazazi wake wanaua palepale then wanaondoka ndani ya siku 1 tu waizi si chini ya watano wanaenda ahera. Hii imeleta hali ya usalama sn hapa na waizi wanaenda iba mbali na hapa na wengne wamebadili job nw wanauza chips na mi2mba maana washazika raia kibao.

Mkuu hao nao ni wahalifu, hakuna sheria ya kuuana kihivyo nchini wala katika dini.
 
Huku kwe2 kuna kundi la ukweli wanaitwa wazee wa cuf wapo masjid fulani hivi, hao ukiibiwa unaenda na buku 50 zako unawapa then unawatajia wahusika wako, wao wanaenda mpk kwao then wanamwita mbele ya wazazi wake wanaua palepale then wanaondoka ndani ya siku 1 tu waizi si chini ya watano wanaenda ahera. Hii imeleta hali ya usalama sn hapa na waizi wanaenda iba mbali na hapa na wengne wamebadili job nw wanauza chips na mi2mba maana washazika raia kibao.

Huku kwetu wapo kwenye kanisa fulani hivi wanaitwa wazee wa CDM-M4C...buku 20 tu wanaua hata polisi akikuzingua
 
sio kwamba wapo 10 na wanajulikana, ila mara nyingi wanatembea kundi la watu kama kumi hivi usiku wakiwa na silaha za visu, halafu kuna wezi wengi sana kana kwamba tupo Mogadishu kumbe tupo Kigamboni Tanzania yaani wezi huku wanachekewa. labda umoja unaongelea wewe basi na wanafunzi wawe wanatembea kwa makundi kama wenyewe wakiwa 10 basi wanafunzi wawe 20 pamoja na silaha za visu, na wakitoka chuo watoke kwa makundi na silaha zao. na wakienda kutafuta mahitaji basi waende kwa makundi na silaha zao. ndio umoja unaomaanisha!? tumekuja kusoma na sio kupambana na wezi! jukumu la kupambana na wezi ni la polisi.

Wakazi wa kigamboni mnatuaibisha yani wapumbavu wanatembea na visu na mapanga ndio wanawatisha? waje huku kwetu mbezi waone watakavyotolewa utumbo na SMG au Rifle au AK47,watu wana 9mm kila nyumba....
 
Back
Top Bottom