PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.

Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
 
Sera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.

Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.

CHAUMA nacho mpo nyuma yake.
 
View attachment 3341824

Wadau wao ni CCM.

CHAUMA ni miongoni mwa vile Vyama Mamluki
 
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Hako kazee kigaila kanazeeka vibaya yaani kanawaona watanzania ni wajinga kama yeye?
 
SIyo wadau bali mdau. CCM ndiye mdau mkuu wa CHAUMMA, ambaye kwa kweli hastahili kuitwa mdai, anatakiwa kuitwa mmiliki mkuu wa CHAUMMA.
Chaumaccm ni mali ya ccm kwani kipo uvunguni mwa ccm
 
Sera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.

Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.

CHAUMA nacho mpo nyuma yake.
Sera ya ccm ni kuifuatilia chadema kuudhofisha kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuihujumu chadema kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwapiga, ccm ya sasa inajiendesha kwa njia haramu za kishetani
 
Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Kigaila muogope Mungu wako. Ujue huko kuna watu ndugu zetu, wanasema kinachoendelea
 
Sera ya ccm ni kuifuatilia chadema kuudhofisha kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuihujumu chadema kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwapiga, ccm ya sasa inajiendesha kwa njia haramu za kishetani
Kwa hiyo unakubali wote sawa!
 
Sera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.

Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.

CHAUMA nacho mpo nyuma yake.
Wapi chedema wamefuatilia chauma? Weka uthibitisho
 
Nawashukuru sana watu wawili Mbowe na Lissu.
Hawa wawili wamenifumbua macho,sikuwahi kufikiria kama hivi vyama vya upinzani havina tofauti yoyote na CCM,hawa CHAUMMA vyeo nawachukia kuliko Shetani.
 
Back
Top Bottom