mimi mautovu yake ndo sipendi kabisa.Harufu yake na ule utamu wake
usisahau kunipa feedback nataka nifanye monitoring......pengine hapo mbeleni tutafungua consulting firm/ herbal clinic
Hilo fenesi ukinikuta zangu bondeni (Muheza) huwa twala hadi mbeguze kwa kuzichemsha...
Ndg.W8Hilo fenesi ukinikuta zangu bondeni (Muheza) huwa twala hadi mbeguze kwa kuzichemsha...
Pole Faith ila hiyo picha inaonyesha uji na fenes ndio chai hiyo uji hauna sukari kwahiyo inapatikana kwenye uji nimeikuta Tanga hiyo life style
Duh!hadi mbegu?Haya bwana kama nakuona mwenyewe umevaa msuli then wala fenesi
Ndg.W8
hebu nijuze kuhusu mbegu zake ? maana mie huzitupa away... (mie hpata mafenesi kutoka indonesia!)
Haswaaa...ukizichemsha zawa tamu na ladha ya kile kiini cha kati baada ya kuzibanjua magandaye huwa kama kiazi kitamu kilichookwa
Mashkurr... mkuu ntafuata process hiyo bidhabti naona itakuwa kama lozi.....!?Haswaaa...ukizichemsha zawa tamu na ladha ya kile kiini cha kati baada ya kuzibanjua magandaye huwa kama kiazi kitamu kilichookwa
Kama kinakuwa kama kiazi kitamu basi inabidi niwe nachemsha mbegu zake maana kiazi napenda.Harufu yake bado inakuwepo?
mimi mautovu yake ndo sipendi kabisa.
Mashkurr... mkuu ntafuata process hiyo bidhabti naona itakuwa kama lozi.....!?
OOyaa!! W8 mkuu wewe ndo mwenyeji JF na handeni ndo alwatan sasa vipi juu !! kama 'um'uwazi basi funika bhana !! na kama na gongana basi ita Trafiki haraka!!Umeniacha na bumbuwazi...lugha gongana
Huwa yatoka...hata hivyo fenesi mbona halina harufu kihivyo
sasa adha zote hizo za nini? mafuta ya kula yenyewe yakiwa mabichi yanuka.Utomvu waukata kwa kupaka mikono mafuta ya kula...
Kama ushaona vile wamama wakatavyo utomvu wamenyavyo ndizi mbichi...
Harufu yake na ule utamu wake