mbona unakosa uhondo, kwann hulipendi?
Harufu yake na ule utamu wake
mmmh HF, kweli? Mbona kunaharufu aina nyingi tu na utaamu upo wa aina?!! ...halafu acha kupotea hivo!! utasababisha JF kufilisika maana gharama nyingi!!Harufu yake na ule utamu wake
Katika matunda ambayo siyapendi fenesi ni la kwanza
...we wapenda vichungu eenh
mmmh HF, kweli? Mbona kunaharufu aina nyingi tu na utaamu upo wa aina?!! ...halafu acha kupotea hivo!! utasababisha JF kufilisika maana gharama nyingi!!
Your Good day!
Pole sana Mpwa, hilo tunda linaongeza ashki ila sio ashki majinuni.....hasa ukipata na uji wa dona, Kha! Kutwa nzima utaomba jioni iingie uombe mchezo
Sote tunawajibika.... ujirani umebakia kwenye mitandao tu!! Be blessed bhana ...usisahau kula fenesi...mmmh!Majukumu ndugu yangu si unamjua shem wako alivyo mtata ndio ananifanya napotea hivyoπ
usisahau kunipa feedback nataka nifanye monitoring......pengine hapo mbeleni tutafungua consulting firm/ herbal clinicSerious mpwa?kumbe faida yake nzuri eeeh.Ngoja nitakuwa namuandalia mpwa wako ili nione jioni inakuajeπ
Hapana bwana ule utamu wake umezidi na harufu ndio nikiisikia hadi najisikia vibaya
Sote tunawajibika.... ujirani umebakia kwenye mitandao tu!! Be blessed bhana ...usisahau kula fenesi...mmmh!