"Kifungo cha nje" kwa "Lulu": Haki imetendeka au ni ‘Mockery of Justice’?

M
hakutakiwa hata kwenda jela yule mtoto,
Mtoto gani anayebadilisha wanaume kama nguo? Mtoto anayeweza kuishi mwenyewe, kumiliki nyumba, Kuendesha gari yake binafsi, kukesha kumbi za starehe akinywa pombe?

Tukio la Lulu na Kanumba lilikuwa ni tukio la watu wazima 100%
 
Nadhan bado mtakumbuka ni siku kadhaa zimepita tangu mbunge wa Mbeya mjini atolewe jela Kwa mazingira ambayo yaliacha sintofaham kama vile ilivyokuwa Hukumu yake.Hii habari ya Lulu Kwa jicho la pili sio kitu kipya na hata kusudio lake ni kuzima mjadala kwenye mitandao juu ya mkanganyiko uliojitokeza juu ya Mbunge wa Mbeya mjini na kuchukua headlines kwenye media za ndani na adhari zake kisiasa hasa Kwa chama Tawala na Taifa. Hii pia imeondoa ufuatiliaji wa uwasilishwaji na mjadala wa bajeti ya serikali Kwa mwaka wa fedha 2018/19 baada ya mjadala mkali katika wizara ya maji kama ilivyotegemewa pia iwe kwenye wizara ya kilimo.

Ni wazi habari za wasanii hupewa kipaumbele kikubwa na wengi wa watumiaji wa Mitandao na hata kwenye vijiwe vya mitaani.Nadhan tunapaswa kuyaangalia haya mambo kwa umakini mkubwa ili tusitoke kwenye mijadala inayolenga kuleta ustawi wa Taifa letu na watu wake.
 
Kwangu haki imetendeka maana hata ushahidi ulikuwa wa kubumba bumba tu eti circumstantial evidence for what?
 
Ki
Aliyenisimulia wakati huo kwamba huyo binti "anatumikia kifungo cha nje" alikuwa na uhakika na alichoongea. Sikuwa na sababu ya kutomwamini kwa sababu hajawahi kunilisha matango pori. Na leo "mtoa habari" huyo proved himself right... for the umpteenth timeView attachment 777083View attachment 777084View attachment 777085
Kimsingi hapa hapakuhitaji ufafanuzi wa magereza. Wangetuwekea hiyo amri ya mahakama tuione. Maana hata huo ufafanuzi haulezi hiyo" community service" ataifanyia wapi
 
Binafsi sina shida na suala la Lulu kuachiwa ila shida yangu ni jinsi watu fulani wanavyogeuza taifa hili kua uwanja wa double standards kwa maslahi yao au utashi wao tu! Ukiangalia hata hilo tamko linapinda pinda (meandering) kujaribu kujustify something! Tunaharibu nchi namna hii...
Nchi tayari ilishaharibika mara tu baada ya watu wa mbasha walipokabidhiwa. Actually mimi siwalaumu wao ila ba mkwe atajibu kwa Mr. God
 
Back
Top Bottom