Kifuatacho ni watoto fake

Kifuatacho ni watoto fake

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,097
Reaction score
2,312
Nafikiria kimyakimya,itokee serikali baada ya kumaliza uhakiki wa vyeti vya ndoa kwa watumishi wake,ije na zoezi la uhakiki wa watoto wao.Maana ikiwa itaonekana wana ndoa hao, vyeti vyao ni fake,pia kuna uwezekano watoto wakawa fake na hivyo kula pesa za serikali pasipo kustahili.Mnasemaje wadau.
 
Hakuna mwenye agenda hiyo tena, ni uharibifu kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom